Michuano ya UEFA leo inaendelea katika michezo ya maruadiano kwenye makundi mbalimbali, ambapo ukiwa na kitochi chako sehemu yoyote unaweza kubashiri mechi zako za ushindi ili ujiweke kwenye nafasi ya kujishindia pesa.

Bila Intaneti leo, bashiri mechi ya AC Milan dhidi ya Chelsea ambapo Milan atakuwa nyumbani Sansiro akikumbuka machungu ya kupoteza mchezo wa kwanza kwa mabao 3-0. Je leo anaweza kupata alama mbele ya Graham Potter ambae hajapoteza mchezo wowote toka ajiunge na The Blues?
AC Milan amepewa ODDS ya 3.19, wakati Chelsea ana ODDS ya 2.35 na sare kati yao ina 3.19. Lakini mechi hii ina machaguo mengi unayoweza kubashiri.
Mechi nyingine ya UEFA kukupatia pesa leo hii kati ya Wababe wa Ufaransa wa Ufaransa PSG ambao watakuwa nyumbani kumkaribisha Benfica baada ya kulazimishwa sare mchezo uliopita leo hii wana ODDS ya ushindi ya 1.47, wakati Benfica ya Ureno ina ODDS ya 5.88, sare kati yao ina 4.80. Bashiri mechi hii.

Ukiongeza mechi UEFA ya Borrusia Dortmund dhidi ya Sevilla itakuwa imekaa poa sana. Dortmund alimkandamiza Sevilla mabao 4-1 nyumbani kwao. Je na Sevilla atarudisha mapigo akiwa ugenini? mwenyeji ana ODDS ya 1.44, mgeni akipewa ODDS ya 6.27 na sare ikiwa na 4.70.
Ukimalizia na mechi ya Maccabi ambaye yupo nyumbani akimualika Juventus utakuwa umeua sana. Maccabi akipokea kichapo cha mabao 3-1 ugenini atafanya nini hii leo? Mwenyeji ana ODDS ya 4.21, wakati vijana wa Allegri wakiwa na ODDS ya 1.86. Sare kati yao ina 3.52.

Bashiri sasa na Meridianbet USSD kwa ODDS nzuri na bomba ambapo utapata machaguo zaidi ya 1000. Weka pesa yako Meridianbet USSD kwa kubonyeza *149*10# kwa mtumiaji wa TIGO na AIRTEL na utengeneze mkeka hapa.

