Kylian Mbappe: Aomba Kuondoka PSG.

Staa wa klabu ya PSG na timu ya taifa ya Ufaransa Kylian Mbappe ameomba kuondoka klabuni hapo katika dirisha dogo la januari.kylian mbappeTetesi zinasema Kylian Mbappe anahitaji kuondoka klabuni hapo kutokana na kutokuelewana na uongozi wa klabu hiyo kwenye baadhi ya makubaliano ndani ya timu hiyo.

Taarifa kutoka nchini Hispania zinasema inawezekana klabu ya Real Madrid ikarudi kwenye mbio za kumnasa mchezaji huyo waliemkosa majira ya joto baada ya kusaini mkataba mpya utakaomuweka klabuni hapo mpaka 2024.

Kylian Mbappe amekua akielezwa kupishana na wachezaji wenzake klabuni hapo na hiyo ni baada ya taarifa kuuja kua mchezaji huyo alisaini mkataba unaompa mamlaka makubwa klabuni hapo uwanjani na nje ya kiwanja.kylian mbappeKlabu zingine pia zimehusishwa kumuwania mchezaji huyo baada ya taarifa hiyo kutoka ikiwemo klabu ya Manchester United ya nchini Uingereza.

 

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.