Sloti Bomba: Magic Wheel

Magic Wheel: Uliwahi kukaa na kufikiria ni kitu gani kinaweza kukuongezea pesa yako na kuwa nyingi?, sasa iko hivi Meridianbet wamekuja na Sloti bomba kwaajili yako, ni kasino mtandaoni ambayo inakupa michezo mingi rahisi kucheza kabisa, huu ni mchezo wa Magic Wheel “Mzunguko wa ajabu”

Sloti ya Magic Wheel inakupa nafasi ya kuzunguza gurudumu lako kwa kubonyeza kitufe cha ‘play’ ili uruhusu mchezo kuanza kisha gurudumu litazunguka, kitu cha kukumbuka hapa kila namba ina ushindi wake.

 

Sloti Bomba: Magic Wheel

Pia kuna baadi ya namba nyingine hazina ushindi ni namba zilizo wazi, hivyo kama gurudumu lako litasimama kwenye namba isiyokuwa na ushindi, mashine ya sloti itakueruhusu kuendelea kucheza na kujaribu bahati yako.

Ukiwa na Credit yako ya kiasi cha 100 tu, unaweza kucheza michezo sana na baadae unaweza kujikuta umeshinda pointi nyingi na kujikusanyia ushindi mkubwa zaidi.

Magic Wheel ni mchezo wa kasino mtandaoni ambao ni rahisi kucheza, huhitaji kuumiza kichwa wala kufikiria kwa kiwango cha chuo kikuu, bali vidole vyako tu na bahati yako itakufanya uwe mshindi.

 

Sloti Bomba: Magic Wheel

Vilevile Meridianbet wamesambaza mashine za Sloti kwenye maduka mengi yaliyopo mtaani kwako maeneo ya Kariakoo, Magomeni, Mbagala, Gongolamboto na sehemu nyingi, tembelea kwenye maduka ya Meridianbet yaliyopo karibu yako kuweza kucheza.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.