Waamuzi wa Simba vs Yanga Kuwekwa Wazi Leo.

 

Waamuzi watakaochezesha mechi ya watani wa jadi kati ya Simba na Yanga Jumamosi katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, wanatarajiwa kuwekwa hadharani leo.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi, Almasi Kasongo, amesema wanatarajia kupewa majina hayo kutoka kwa Kamati ya Waamuzi na wakiyapata tu, watayatangaza leo hii.

Kasongo alisema hayo baada ya kuulizwa kama watakaochezesha mechi hiyo ni wale wale waliokuwa wachezeshe mchezo huo Mei 8, mwaka huu ama wamebadilishwa.


KUSANYA PESA HAPA!

IcyGems kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet. Ndio, ukiwa kwenye nyumba ya mabingwa, ndipo utakapoufurahia ubora wa Kasino ya Mtandaoni sambamba na kushinda kwa ushindi mkubwa! Ishi na hii, IcyGems!Meridianbet

INGIA MCHEZONI

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.