Walker Kuelekea Bayern Munich

Beki wa klabu ya Manchester City mabingwa wa ulaya Kylie Walker inaelezwa anaweza kutimkia klabu ya Bayern Munich ambao ni mabingwa nchini Ujerumani.

Walker ameonesha taa ya kijani kwa Bayern Munich kua anaweza kujiunga na timu hiyo hivo mpaka sasa kwani beki huyo anahitaji kutafuta changamoto mpya katika timu nyingine na mabingwa hao wa Ujerumani ndio wanaweza kunasa saini ya beki huyo.walkerBayern Munich wanaweza wakaachana na beki wake wa kulia Benjamin Pavard pamoja na Joao Cancelo ambaye alikua kwa mkopo akitokea Man City, Hivo watakua wanahakikisha wanampata beki huyo wa kimataifa Uingereza.

Walker amefanikiwa kucheza kwa kiwango kikubwa  katika klabu ya Manchester City kwa takribani miaka sita sasa, Hivo taarifa zinaeleza kua ameonesha kuvutiwa na uhamisho wake wa kwenda klabu ya Bayern Munich.walkerDili la Walker kuelekea klabu ya Bayern Munich bado halijakamilika lakini mchezaji ameonesha ana nia ya kuelekea klabu ya Bayern Munich,Lakini taarifa zinaeleza beki huyo yuko kwenye hatua nzuri ya mazungumzo na klabu hiyo kutoka nchini Ujerumani.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.