Meridianbet USSD inakupatia leo hii mkwanja wa maana ukiwa nyumbani kwako umetulia huku ligi mbalimbali zikiendelea kuanzia hii leo.

Usijali, chukua simu yako iwe kitochi au simu janja bonyeza *149*10# bila ya kuwa na intaneti uweze kubashiri mechi zako unazoamini zitakupa ushindi mkubwa na kubadilisha maisha yako.
Mechi za ushindi leo Kmc wanawakaribisha Ruvu Shooting ambapo mechi ya mwisho ya Kmc alitoa sare wakati Ruvu alipoteza dhidi ya Yanga. Kmc ana ODDS ya ushindi ya 1.87, wakati Ruvu ana ODDS ya 3.82 sare ikipewa 2.94. Weka pesa ukiwa na Meridian USSD.
Usiishie hapo nenda kule Ufaransa Ligue 1 Lyon leo yupo nyumbani anacheza dhidi ya Toulouse. Lyon kapewa nafasi kubwa ya kushinda kwa ODDS ya 1.52, na Toulouse amepewa ODDS ya 5.29, sare kwao ina 4.60. Mgeni anaweza kuchukua alama tatu?

Bundesliga mambo bado yako moto haswaa, baada ya ushindi mkubwa kabisa wa mabao 5-1 mchezo uliopita leo hii Werder Bremen atakuwa mgeni wa Hoffenheim Bremen amepewa ODDS ya 2.42, na mwenyeje Hoffenheim amepewa 2.06, sare ikipewa 3.72.
Bashiri sasa na Meridianbet USSD kwa ODDS bomba na machaguo mengi zaidi ya elfu moja uweze kujiweka kwenye nafasi ya kupiga mkwanja mrefu.


