Timu ya Taifa ya Ufaransa imekuwa timu ya kwanza kufuzu hatua ya 16 bora ya Kombe la Dunia baada ya kuicharaza timu ya Taifa ya Denmark kwa mabao 2-1 hapo jana kwenye mchezo wao wa pili.

Mabao hayo ya Ufaransa yalitupiwa kimyani na mshambuliaji wao hatari Kylian Mbappe katika kipindi cha pili baada ya kwenda kipindi cha kwanza bila kufungana huku vijana wa Deschamps wakifanya mashambulizi ya hatari langoni kwa Denmark
Mbappe sasa katika mechi mbili amefikisha mabao matatu kwenye mechi mbili za Kombe la Dunia huku macho yote yakiwa kuona atafanya nini kwa Taifa lake baada ya kuchukua ubingwa huo mwaka 2018 akiwa mchezaji mdogo.

Ufaransa ndio wanaongoza Kundi D wakiwa na pointi zao 9 kwenye msimamo huo baada ya kushinda mechi yao ya jana. Mechi ya mwisho Mbappe na wenzake watakipiiga dhidi ya Tunisia siku ya Jumatano.
Je wewe hucheza Kasino Mtandaoni na umekuwa ukijiuliza ni mchezo gani rahisi na mzuri kwa ushindi? Basi Usihangaike Aviator ni rahisi zaidi kucheza na kushinda, kingine cha zaidi ni kwamba Aviator Bonanza imerudi tena Cheza zaidi ujiweke kwenye nafasi ya kushinda Samsung A23.
BONYEZA HAPA KUCHEZA


