Westham Yatoa Ofa ya Euro 12m Kwaajili ya Danny Ings

Klabu ya Westham ipo mbioni kumsajili mchezaji wa Aston Villa Danny Ings kwani mpaka sasa wameshatoa ofa ya Euro 12M kwaajili ya kunasa saini ya mchezaji huyo.

 

Westham Yatoa Ofa ya Euro 12m Kwaajili ya Danny Ings

Mazungumzo yanaendelea na Ings atakuwa tayari kujiunga na Wagonga nyundo hao wa Uingereza kwaajili ya kuunyesha kile ambacho anacho katika eneo la ushambuliaji kwani mpaka sasa Westham mambo ni magumu.

Danny Ings kabla ya kujiunga na Aston Villa alikuwa akikipiga katika timu ya Southampton ambayo nayo kwasasa bado inajitafuta kutoka katika nafasi ya mwisho kwenye msimamo wa ligi.

Westham Yatoa Ofa ya Euro 12m Kwaajili ya Danny Ings

Westham ambayo ipo chini ya kocha mkuu David Moyes wamekuwa na msimu mbaya sana kwani mpaka sasa wanashikilia nafasi ya 18 baada ya kucheza michezo yao 19, ushindi mara nne, sare tatu na kupoteza mara 12, wakivuna pointi zao 15.

 

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.