Kocha Simba 'Robertinho' Anazitaka Tatu za Dodoma Jiji

Kocha Mkuu wa Simba Roberto Oliviera ‘Robertinho’ alisema ataingia katika mchezo wa leo Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Dodoma Jiji kwa lengo la kutafuta ushindi ili kupunguza tofauti ya alama walizoachwa na wapinzani wao Yanga SC. Meridianbet wanatoa ODDS kubwa kwenye mechi zote. Bashiri hapa.

 

Robertinho

Hata hivyo Robertinho ameongeza kuwa Simba SC ni timu kubwa na malengo yake ni kushinda ubingwa hivyo kila mchezo wanahitaji kupata alama tatu.

“Tuna nafasi ya kuonyesha Simba ni timu kubwa. Baada ya kambi ya wiki moja Dubai kufanikiwa tunahitaji kushinda na kuonyesha soka safi. Ili kuwa bingwa lazima kuchukua alama tatu,” alisema Robertinho.

Nyota watatu ambao wamewasajili mwishoni mwa dirisha kiungo Ismael Sawadogo na washambuliaji Jean Baleke na Mohamed Mussa ni miongoni mwa wachezaji 19 waliosafiri nao kwenda Dodoma kwa ajili ya mchezo huo. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, Usikose hii!!.

Huenda likwa ni pigo kubwa kwa Simba SC kuwakosa wachezaji wao 9, huku wengi wakiwa ni kikosi cha kwanza kama vile Chama, Inonga, Kanoute, Mzamiru na Mosses Phiri ambao watakuwa nje kwa sababu za majeruhi na kadi tatu za njano.

Hata hivyo Robertinho bado ana machaguo ya ziada kwa wachezaji 19 waliosafiri na timu ambao wanaweza kuziba nafasi za wachezaji waliokosekana na kutoa matokeo mazuri, wasiwasi huenda ikawa kwenye kiungo cha kati Ismael Sawadogo ana jukumu la kuonesha uwezo wake leo. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.