Kiungo wa kati wa Real Madrid na Nahodha wa timu ya taifa ya Croatia Luka Modric amekiri kwamba ameshangazwa na kuzorota kwa kiwango cha Liverpool msimu huu. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.

Ingawa vijana wa Jurgen Klopp wameshinda mechi zao mbili zilizopita, wamekuwa wakisota na kiwango chao cha kutia huruma, na kwa sasa wako katika nafasi ya nane kwenye EPL. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara kila mechi ina odds kubwa, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.
Liverpool watawakaribisha Real Madrid Jumanne katika mechi ya mkondo wa kwanza wa hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa (UCL) na Modric bado anahofia tishio ambalo wanaweza kutoa. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds kubwa, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.
Modric alisema: “Nimeshangaa sana kwamba Liverpool wako mbali sana kutoka nafasi ya kwanza kwenye Premier League, lakini wanaweza pia kusema hivyo kuhusu sisi kwa sasa kwenye La Liga. Kwa hivyo, sisemi chochote!
“Tukiona kikosi cha Liverpool, tunajua kwamba wakati wowote wanaweza kujibu na kuanza kurejea msimu huu. Natumai haitakuwa katika mechi hizi mbili za Ligi ya Mabingwa dhidi yetu lakini lazima tuwe tayari.
“Licha ya misimu yetu ya ligi, mechi ya Liverpool vs Real Madrid ni mojawapo ya mchezo bora zaidi ambao ulimwengu wa soka unataka kuona. Ni aibu kwamba sare hiyo imetufanya tucheze mapema sana kwenye mashindano kwa sababu ingekuwa Fainali kubwa ya Ligi ya Mabingwa.”
Modric anatarajia kwamba mechi zote mbili dhidi ya Liverpool zitakuwa ngumu sana, lakini akasema kwamba anaona Real Madrid ni mshindi. Meridianbet wanatoa ODDS kubwa na zawadi ya ukaribisho ukijiunga. Bashiri hapa.
Alisema: “Kwa upande wa mechi hii ya mkondo wa kwanza nadhani ulinzi unaweza kuwa msingi. Sioni mabao mengi kwenye mechi. Pengine zitakuwa mechi mbili zilizo sawa, lakini naona Real ndiyo wanaopewa nafasi kubwa zaidi na tutaenda Anfield kutafuta ushindi.
Msimu uliopita Real Madrid iliifunga Liverpool 1-0 kwenye fainali ya Ligi ya Mabingwa, na itakuwa ya kuvutia kuona ni timu gani itafuzu kwa hatua ya nane bora msimu huu.
Wakati fulani katika msimu huu Liverpool wameonekana kutokuwa na mshikamano na mawazo. Pata Odds kubwa za soka ukiwa na Meridianbet na kasino ya mtandaoni.
Darwin Nunez ameonekana kuvutia katika michezo ya hivi karibuni akiwa amefunga kwenye mechi dhidi ya NewCastle, lakini mshambuliaji huyo hana shaka katika mechi ya kwanza dhidi ya Real Madrid kwa sababu ya jeraha la bega.

