Newcastle wameingia kwenye harakati za kumnasa kiungo mshambuliaji wa Chelsea Mason Mount. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

Mkataba wa nyota huyo wa Uingereza unamalizika majira ya joto 2024 na amekataa ofa kutoka kwa klabu hiyo.
The Blues wamedhamiria kutompoteza Mount bure wakati mkataba wake utakapokamilika na kwa hivyo ikiwa nyongeza haiwezi kuafikiwa msimu huu wa joto, watatafuta kumuuza.
Liverpool wanamtaka mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24, lakini kwa mujibu wa Sportsmail inaelewa kuwa Newcastle pia wanamuwinda.
The Magpies ni miongoni mwa wenye nia na akaunti zao huenda zikashawishi nia ya mchezaji huyo kujiunga na timu hiyo. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.
Upande wa Eddie Howe wanataka kusaini baadhi ya majina lakini wana mipaka katika biashara wanayoweza kufanya kwa sababu ya sheria za Financial Fair Play (FFP). Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.
Newcastle wametumia zaidi ya paundi milioni 165 msimu huu kuwanunua makinda Alexander Isak (£60m), Anthony Gordon (£45m), Sven Botman (£35m) na pauni milioni 25 zaidi kwa pamoja kwa Nick Pope na Matt Targett. Pata Odds za soka ukiwa na Meridianbet na kasino ya mtandaoni.

