Newcastle United hawana nia ya kumuuza Bruno Guimaraes kwenda Real Madrid msimu huu wa joto kwa mujibu wa taarifa kutoka Talk Sport. Pata odds kubwa kutoka Meridianbet kwa mechi za ligi mbalimbali.
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Brazil amekuwa katika kiwango cha kuvutia akiisaidia Magpies kufuzu UEFA Champions League msimu ujao.
Uchezaji wake umevutia hisia za timu kubwa Ulaya na miongoni mwao, ni Real Madrid ambao wanapanga kuimarisha safu yao ya kiungo msimu huu wa joto. Ukiwa na meridianbet unapata odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.
Lakini kumnunua Guimaraes kunaweza kuwa na ugumu ambapo Newcastle wanashikilia msimamo wao kwamba mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25 hauzwi. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.
Mchezaji huyo ana mabao matano na pasi za mabao katika michuano yote msimu huu, akiwa amecheza mechi 40. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.
Pia alikuwa sehemu ya kikosi cha wachezaji 26 cha Brazil ambacho kilitupwa nje ya Kombe la Dunia la Qatar katika hatua ya robo fainali.
Guimaraes amekuwa kipenzi cha mashabiki tangu alipohamia St James’ Park Januari 2022, akitokea Lyon ya Ufaransa.


