Yanga Suala la Nabi Mbona Hamueleweki?

yanga

Kuna Taarifa kutoka Yanga inaeleza kuwa Uongozi wa klabu hiyo umeachana na Kocha mkuu wa timu hiyo Mtunisia Nasradinne Nabi, baada ya kumfuata na kumshawishi kocha huyo kuongeza mkataba mpya. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.

Kwenye andiko hilo Yanga wanasema mkataba wa Nabi unafika tamati msimu huu, jambo ambalo linachanganya sana, kivipi>>>

Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

Miezi 11 nyuma ilikuwa ni usiku wa kuamkia Ijumaa ya Agosti 6 mwaka 2022 Yanga walimuongeza mkataba Nabi wa miaka 2, ambao ungefika ukomo mwakani 2024, iweje leo waseme Nabi amemaliza mkataba na Yanga na kagoma kuongeza? Ushahidi wa picha baada ya kuongeza mkataba upo.

Mnatufanya sasa tuanze kuamini maneno ya Last born wa taifa, ya kwamba hata yeye mlimuongezea mkataba wa mwaka mmoja kinyemela ilhali makubaliano yalikuwa ni miaka 2 tu.

Ukiwa na meridianbet unapata odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.

yanga-Nabi

Kwenye suala la weledi haswa mikataba ya wachezaji bado Yanga mnakwama, tulijua mmejifunza kwenye sakata la Toto Tundu kwenda Simba lakini bado, mnatufanya tuanze kuwaza tatizo lipo kwenu na wala sio kwa wachezaji.

Pata odds kubwa kutoka Meridianbet kwa mechi za ligi mbalimbali.

Leo limekuja suala la Nabi, Feitoto, Morrison, tuatarajie hata Kina Mayele, Bangala, Dickson Job na wengine huenda yakaibuka kama haya.

NB: Haya ni maoni huru ya Mwandishi na sio msimamo wa chombo cha habari, kama msomaji una haki ya kukosoa au kuchangia chochote.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.