Yanga Watangaza Vita Mpya ya Usajili

yanga
Aziz ki

RAIS wa Yanga, Injinia Hersi Said, amepiga mkwara mzito kuhusu masuala ya usajili akiweka wazi kuwa jina lolote atakalopewa atafanyia kazi kuhakikisha anamleta mchezaji huyo.Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.

Injinia Hersi alifanikisha madili ya wachezaji wengi ndani ya kikosi cha Yanga akiwemo Stephane Aziz KI ambaye alikuwa anakipiga ASEC Mimosas ya Ivory Coast.

Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

Aziz Ki alikuwa anatajwa kuwa kwenye rada za mabosi wa Simba pamoja na Azam FC, jambo lililoongeza presha kwenye kuisaka saini yake na mwisho aliibuka Yanga.

Injinia Hersi amesema: “Kwenye suala la usajili, Yanga tupo tofauti na tunazidi kuiboresha sekta hii kutokana na kuwa na mfumo wa mabadiliko, hivyo wakishafanya mchakato wao ninawaambia tu jina lolote wanipe.

Ukiwa na meridianbet unapata odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.

“Wakinipa jina la mchezaji ambaye wanamuhitaji popote kule hizo ndizo kazi zangu, nitahakikisha ninakamilisha hilo dili na kuwapatia mchezaji wao.”

Pata odds kubwa kutoka Meridianbet kwa mechi za ligi mbalimbali.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.