Brighton bado hawajakata tamaa na wana nia ya kumsajili Levi Colwill beki wa kati wa Chelsea na timu ya taifa ya England chini ya miaka 21. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.
Chelsea wanasisitiza kuwa beki huyo hauzwi na ni sehemu ya mipango yao ya muda mrefu. Walikataa katakata dau la pauni milioni 30 kutoka kwa Brighton mapema msimu huu wa joto na wanataka kurudi ili kujadili mkataba mpya.
Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.
Colwill, ambaye alichangia pakubwa kuisaidia England kutwaa Ubingwa wa U21 wa Ulaya, anatarajiwa kufanya mazungumzo na Kocha wa Chelsea, Mauricio Pochettino atakaporejea mazoezini ili kujua ni wapi anaingia kwenye mipango yake na atapewa muda gani wa kucheza.
Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.
Colwill alitumia kampeni ya mwisho kwa mkopo na klabu ya pwani ya kusini na amesifu jukumu la Roberto De Zerbi kusaidia kuimarika kwake kama mchezaji.
Mkataba wa sasa wa Colwill ndani ya Chelsea unaisha 2025. Ukiwa na meridianbet odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.


