As Roma Wamepania Msimu huu

Klabu ya As Roma chini ya kocha Jose Mourinho wanaonekana kama wamepania msimu huu kwani wanafanya usajili mkubwa kwajili ya kufanya makubwa msimu huu.

Klabu ya As Roma mpaka sasa wameshafanikiwa kufanya sajili kadhaa ambazo zinaonekana kua na tija kwa klabu hiyo kwa kiwango kikubwa, Kwani wamefanikiwa kumchukua Leandro Parades, pamoja na Ronato Sanchez.As RomaKlabu hiyo chini ya kocha raia wa kimataifa wa Ureno imefanya usajili wa nguvu na mipango yake mikubwa ni kuhakikisha wanafanya vizuri katika ligi kuu ya Italia msimu huu kutokana na usajili ambao wameufanya.

Kiungo Renato Sanchez amejiunga na klabu hiyo kwa mkopo wa msimu mzima ila pia kukiwa na kipengele cha kuweza kumnunua jumla la kiungo pale ambapo Roma watashawishiwa na uwezo wake kwa kipindi ambacho atakuepo klabuni hapo.As RomaKlabu ya As Roma imekua na mabadiliko makubwa chini ya kocha Jose Mourinho ambapo msimu wa kwanza alibeba kombe la Uefa Conference, Huku msimu wa pili akicheza fainali ya kombe la Uefa Europa league na kupitia usajili waliofanya msimu huu wanatarajiwa kufanya makubwa zaidi.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.