Kwanini wachezaji huingia na watoto uwanjani (Player Escort au Match Mascort) Maana yake ni nini?

Player escort au match mascort ni watoto wakike na wakiume kuanzia miaka 6 hadi 16 ambao huingia uwanjani wameshikana mikono na wachezaji kabla mechi haijaanza.
Utamaduni huu ulianzishwa miaka ya 1970s huko Brazil na Ronan Ramos Oliveira September 5, 1976 ambaye alikuwa afisa mahusiano wa club ya Clube Atlético Mineiro Kwenye mechi kati ya Clube Atlético Mineiro dhidi ya América Mineiro.
Kitu cha kuvutia ilkuwa ni watoto hao walitakiwa kuwa na takiwa kuwa na sifa ya kufanana na mchezaji ambao watashikan mikono wakiwa wanaingia uwanjani.

Wazo ambalo liliibua hisia za watu wengi ikapelekea watu wengi wakawa wanahudhuria mechi hizo.
Kazi ya hao watoto ilkuwa ni kuwasaidia wachezaji , kubeba bendera, pia kucheza mechi za wao kwa wao.
Kwa sasa Kuna sababu nyingine zilizopelekea utamaduni huu kuendelea .. miongoni mwa sababu hizo ni kama.


