Je Wajua Kwanini Wachezaji Huingia Uwanjani na Watoto?

Kwanini wachezaji huingia na watoto uwanjani (Player Escort au Match Mascort) Maana yake ni nini?

Je Wajua Kwanini Wachezaji Huingia Uwanjani na Watoto?

Player escort au match mascort ni watoto wakike na wakiume kuanzia miaka 6 hadi 16 ambao huingia uwanjani wameshikana mikono na wachezaji kabla mechi haijaanza.

Utamaduni huu ulianzishwa miaka ya 1970s huko Brazil na Ronan Ramos Oliveira September 5, 1976 ambaye alikuwa afisa mahusiano wa club ya Clube Atlético Mineiro Kwenye mechi kati ya Clube Atlético Mineiro dhidi ya América Mineiro.

Kitu cha kuvutia ilkuwa ni watoto hao walitakiwa kuwa na takiwa kuwa na sifa ya kufanana na mchezaji ambao watashikan mikono wakiwa wanaingia uwanjani.

Je Wajua Kwanini Wachezaji Huingia Uwanjani na Watoto?

Wazo ambalo liliibua hisia za watu wengi ikapelekea watu wengi wakawa wanahudhuria mechi hizo.

Kazi ya hao watoto ilkuwa ni kuwasaidia wachezaji , kubeba bendera, pia kucheza mechi za wao kwa wao.

Kwa sasa Kuna sababu nyingine zilizopelekea utamaduni huu kuendelea .. miongoni mwa sababu hizo ni kama.

Je Wajua Kwanini Wachezaji Huingia Uwanjani na Watoto?

✓kuendelza kampeni ya kudumisha haki za watoto ulimwenguni
✓kuleta uaminifu Katika michezo
✓kutumiza ndoto za watoto
✓kuwakumbusha wachezaji kwamba watoto wanawatazama.
Product ya hii idea ilipelekekea kulea vipaji amabao walianza kama match mascort baadae wakaja kupamba soka la dunia mfano-
*Wayne Rooney,
*harry kane,
*lamine yamal,
*Phil foden, n.k

Acha ujumbe