Pedro Neto Aomba Msamaha Baada ya Kumsukuma Ball Boy

Nyota wa Chelsea FC, Pedro Neto, amemuomba msamaha kijana anayeokota mpira (Ball Boy) baada ya kumsukuma katika mchezo wa UEFA Champions League uliofanyika Parc des Princes, Ufaransa, jana usiku wakati Chelsea walipokubali kichapo cha mabao 5-2 kutoka PSG.

Pedro Neto Aomba Msamaha Baada ya Kumsukuma Ball Boy

Neto alisema kuwa kitendo hicho kilitokea kwa hasira ya kucheza baada ya kupoteza mchezo na alijutia matendo yake. “Nimemwomba msamaha kwa kumpa na jezi yangu, ni hasira tu ya kufungwa iliyosababisha nifanye tukio lile ambalo sikutarajia. Najutia kosa langu,”

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa

Tukio hilo limevutia hisia mchanganyiko katika vyombo vya habari na mashabiki wa soka, huku wengi wakihofia athari zinazoweza kumtokea Neto kutokana na kitendo hicho. Hali hii pia inatia shaka kuhusu uwezekano wa UEFA kumchukulia hatua za kinidhamu kwa Neto, kwani mashirika ya soka barani Ulaya huchukua hatua kali dhidi ya kitendo chochote kinachohusiana na kadhia za Ball Boy.

Pedro Neto Aomba Msamaha Baada ya Kumsukuma Ball Boy Kwa sasa, inatarajiwa kuwa UEFA itatoa uamuzi wake katika siku za karibuni, jambo ambalo linaweza kuwa adhabu au onyo kwa nyota huyo wa Chelsea kutokana na tukio hilo.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.