Khvicha Kvaratskhelia Ataka Kuipeleka PSG Fainali ya Ligi ya Mbingwa

Winga nyota wa Paris Saint-Germain, Khvicha Kvaratskhelia, amesema ana matumaini ya kuitia hamasa timu yake kufika fainali ya UEFA Champions League kwa mara nyingine, kuelekea nusu fainali dhidi ya Bayern Munich.

Khvicha Kvaratskhelia Ataka Kuipeleka PSG Fainali ya Ligi ya MbingwaNyota huyo wa Georgia, maarufu kwa uwezo wake wa kupenya na kuwachambua mabeki, amesema anafurahia kucheza soka na kuamini anaweza kuisaidia PSG kupata matokeo mazuri barani Ulaya.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa

Akizungumza kabla ya mchezo huo, alisema, “Ninacheza soka kwa sababu ninaipenda, na kila mara ninafurahia kuwa uwanjani. Ni muhimu pia kufanya mambo mazuri na ya kuvutia kwa mashabiki.”

Khvicha Kvaratskhelia Ataka Kuipeleka PSG Fainali ya Ligi ya MbingwaKvaratskhelia, aliyejiunga na PSG akitokea SSC Napoli, amekuwa na msimu bora akiwa na mabao 15 katika mashindano yote, huku nane kati ya hayo yakitoka katika Ligi ya Mabingwa.

Khvicha Kvaratskhelia Ataka Kuipeleka PSG Fainali ya Ligi ya MbingwaKocha wa PSG, Luis Enrique, ameonyesha imani kubwa kwa mchezaji huyo, huku akisema, “Ligi ya Mabingwa ina nguvu ya kipekee—inaleta hamasa kwa wachezaji na kila mmoja anataka kufanya vizuri katika hatua hizi.”

Khvicha Kvaratskhelia Ataka Kuipeleka PSG Fainali ya Ligi ya MbingwaPSG wanatarajia kumtumia Kvaratskhelia pamoja na Ousmane Dembélé katika mchezo huo muhimu, wakilenga kupata ushindi wa kwanza kabla ya marudiano yatakayochezwa Ujerumani.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.