Tetesi zinasema Real Madrid inaamini kuwa mshambuliaji Kylian Mbappe ,21, atakuwa na mazungumzo nao kuhusu uhamisho kutoka Paris St-Germain.
Liverpool ina mpango wa kumuuza beki wake Dejan Lovren,31, ingawa anatafuta kuongeza mkataba wake.
Mshambuliaji Zlatan Ibrahimovic, 38, amesema hana uhakika kuhusu mustakabali wake ndani ya AC Milan kwa kuwa hakuna mazungumzo yoyote yaliofanyika kuhusu mkataba ikiwa sasa ni chini ya mwezi mmoja kabla ya mkataba wake kufikia ukingoni.

Kai Havertz anataka kuondoka Bayer Leverkusen kwasababu walishindwa kufuzu katika michuano ya klabu bingwa Ulaya hivyobasi Chelsea watalazimika kuhakikisha wanafuzu katika michuano hiyo ili kumshawishi kiungo huyo wa Ujerumain 21 kujiunga na timu hiyo.
Bayern Munich wanajiandaa kuanza mchakato wa kumnasa Tanguy Ndombele ,23, wa Tottenham na Mfaransa mwenzie anayecheza katika nafasi ya kiungo cha kati katika klabu ya Monaco, Tiemoue Bakayoko,25.
Tetesi zinataarifu Nice imetoa ofa kwa kiungo wa kati Mhispania Rony Lopes anayekipiga Sevilla.
Mkurugenzi wa michezo katika klabu ya Norwich Stuart Webber amesema kwamba ombi la kutaka kumnunua mchezaji kinda mwenye kipaji mwisho wa msimu litaanza kwa dau la £20m .
Tetesi ndani ya Klabu ya zinasema Brentford inamlenga winga wa Portsmouth Ronan Curtis, 24 kwa ajili ya kuchukua nafasi ya Said Benrahma ikiwa ataondoka kwenye klabu hiyo.

Rais wa Barcelona Josep Maria Bartomeu amekataa uwezekano wa mshambuliaji wa Paris St-Germain Neymar,28, kurejea Nou Camp lakini amesema klabu inafikiria uhamisho wa mshambuliajji wa Inter Milan Muajentina Laitaro Martinez, 22.
Bartomeu pia amesema ana ”uhakika” mshambuliaji wa Argentina Lionel Messi,33, atasalia Nou Camp zaidi ya mwaka ujao.
Manchester City itatoa ofa kwa kocha Pep Guardiola ya mkataba wa muda muda mrefu baada ya marufuku dhidi ya klabu hiyo kufutwa.

Guardiola atapatiwa karibu kitita cha pauni milioni 150 kwa ajili ya kukipa nguvu kikosi cha City.
Kuna ofa kibao sana unazofaidi ikiwa unabashiri na Meridianbet. Jiunge sasa kufurahia ofa zetu
Bonyeza HAPA Kujiunga.


Antony Luseno
Zaltan imefikia pahala sasa inabidi apumzike
Elika
Habari nzuri sana hii
Magdalena
Ahsante kwa taarifa #meridianbet
Ester jackson
Habari njema sana hasa kwangu shabiki wa Chelsea
Sylvester
Kwa Real Madrid Mbabe litakua chaguo sahihi kwao sababu Benzema umri ushamtupa mkono katika soka ila kwa Ibra Kadabra naona ni wakati sahihi wa kutundika daluga sasa kutokana na umri wake wa miaka 38 hivyo ni vizuri astaafu soka akiwa bado na heshima zake vile vile nadhani anaweza kuja Uingereza kuwasaidia Arsenal kwa mwaka mmoja kwani Arsenal ipo dhofuli hali kwenye ushambuliaji.
Zeiyana
Upande wa man city kumuongezea mkataba kocha wao ni vizuri sana guardiola bado hania sana na man city juudi zake tumeziona
felister
ahsante kwa taarifa
Khadija
Habari njema hii#meridianbettz
Fatina mfingi
Ni habar nzur
lombo
mambo ni moto na meridianbet
isha
Zaltan inabidi upumzike maana umri wake umeshaenda
Angelina
Goodnews#meridianbet
Genia Sikaluzwe
Habari njema #meridianbet
Dorophina
Habari njema kwa mashabiki
Aziza mushi
Habari nzuri Sana kwetu mashabiki wa chelsea
Latifa juma mohamed
Mambo ni mazuri na meridian bet
David Pere
Wazee wa kutumia pesa wanapigana vikumbo huko sokoni maana muda no mchache sanaa
Fatuma kasomo
Asante kwa taarifa
Salma
Habari njema
Zuhura omary kindamba
Habali njema kwetu mashabiki
Mwanahamisi
Mambo matamu na meridianbet
devotha
huyu Zlatan si afanye mpango astaafu tu
Hope mwaikuka
Manatujuza meng axanten sana
Gabriel
Habar niliyoipenda ni hii Chelsea iko tayari kumpatia kipa wa Atletico Madrid na Slovenia Jan Oblak ofa £90.7m. (AS – in Spanish)
Paris St-Germain inamlenga mshambuliaji wa Manchester United na Marcus Rashford, 22,. (Independent)
Barcelona inamuuza kiungo mchezeshaji wa Brazil Philippe Coutinho, 28, kwa Arsenal na Newcastle huku wakijaribu kutafuta fedha za kumnunua mshambuliaji wa Inter Milan na Argentina Lautaro Martinez, 22. (Goal)
Sadick
Pamoja na tetesi hizi sioni kama mwaka usajiri utatumia hela nyingi#meridianbettz
sabrina
Asante kwa habari nimefahamu mengi kuhusu michezo
Theonestina
Habari njema kwetu
Povel tz
Gud news
Isaya massawe
Madrid wamekua wakimtaka mbappe mda sana
Amiri Kayera
Na Corona hii team zitakua na ubahili
Saupha mohamed
Asanteni meridian kwa taarifa nzuri
Shafii
Tetesi za uhakika nazipataga hapa hapa meridianbet.
tumaini
Maoni:Habari njema
Frank Patrick
Wakati wa kumshukuru Lovren kwa kila alichofanya Liverpool umefika atafute club kupisha maingizo mengine
caroline
mbappe anataka kuhama au..
Lydia Emmanuel Magoti
Habari njema
Ernest
Habari za Neymar ni kizungumkuti sana
Furahav
Wakati wa wachezaji kupiga pesa.
Njiku
Safii hii nimeipenda
Omary lukumbi
Safii kila mmoja yupo mbion kufanya usajili
Theckla
Habari njema
mwakalosi
zlatan mbona hataki kustaafu huyu mzee inabidi wamstaafishe tu
Rehema
Hii habari mzuri