Kiungo wa kimataifa wa Ghana, Thomas Partey yuko katika hatihati ya kuongeza mkataba wake huko Atlético Madrid. Partey, ambaye amehusishwa sana na kuhamia Arsenal, ana mkataba kwenye klabu yake unaoendelea hadi 2023.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 ana kifungu cha kununuliwa cha pauni milioni 43 kwenye mkataba wake lakini The Gunners wana matumaini ya kujadili uhamisho wake kwa bei ya chini kwa kiungo huyo ili wasilipe ada kamili ya kumsajili.
Lakini Rojiblancos wanaripotiwa kuwa wamempa Mghana huyo ofa ya mkataba mpya ambao ungemwona akiongezea mara mbili mshahara wake wa sasa wa pauni 65,000 kwa wiki na pia kuongeza kifungu chake cha kununuliwa kwa Pauni milioni 87.2.

Kulingana na ripoti, kiungo huyo huenda akakubali kubakia viunga hivyo vya Wanda Metropolitano ambapo msimu huu kacheza mechi 33 na kufunga mabao 2… Alifika Atlético Madrid mnamo 2011 lakini ililazimu kutolewa kwanza kwa mkopo huko Real Mallorca na Almeria kabla ya kurudi na kujiingiza katika timu ya kwanza mwaka wa 2015.
Kuna ofa kibao sana unzaofaidi ikiwa unabashiri na Meridianbet. Jiunge sasa kufurahia ofa zetu
Bonyeza HAPA Kujiunga.


Antony Luseno
Hizi sio zama za Wenger arsenal inabidi ivunje benk kwa ajili ya usajili
Sylvester
Arsenal waache ubahili kwani wanahitaji kukisuka upya kikosi na Partey bado yupo vizuri atawasaidia
Tatu
Arsenal wasipoongeza dau wanaweza wakamkosa Thomas partey
Adelta
Arsenal waache hizo
Wavunje benk ili wapate usajili
Magdalena
Abaki tu apo apo atletico mpaka pale mocha wa arsenal atakapobadili mifumo yakr
felister
arsenal vunjeni kibubu mkifanya masihara mtamkosa partey
Zeiyana
Arsenal wajitaidi tu wamsajiri mchezaji huyo maana bado kabisa haijarudi ile arsenal ya zamani
Ester jackson
Arsenal jembo hill sasa muache mkono wa sweta mtaji huu apo
Khadija
dah!!hapo Arsenal waache ubahili watamkosa partey#meridianbettz
lombo
mambo n moto
isha
Arsenal ubahili sio kitu kizuri mtamkosa huyu jamaa
Angelina
Arsenal waongeze dau wampate partey
Franky
Awana ela hao so bado chombo ita baki altetico
Genia Sikaluzwe
Thomas. Partey ni kiongo mahiri Sana arsenal wamchukuwe wache ubahili
Dorophina
Arsenal wakimsajili partey atawafaa sana kupandisha timu katika kiwango kizuri bado kijana na ananguvu
Aziza mushi
Arsenal acheni hizo
Latifa juma mohamed
Arsenal inabid wanyooshe mkono ili Mambo yaend vzr
Evaluziga
Mambo ni moto
David Pere
Pesa zenyewe za usajili hawana Sasa watampataje,lazima watamkosa tu
Fatuma kasomo
Arsenal fanyeni kweli
Salma
Inabidi kakaze arsenal
Zuhura omary kindamba
Arsenal inabidi wapunguze ubahili ili wapate timu bora
Sadick
Arsenal inatakiwa kuvunja kibubu kupata huduma ya mghana huyu wakati huu wakiwa na uhitaji mkubwa wa mabeki#meridianbettz
devotha
Arsenal lazima ifanye bidii ili kumpata beki huyo
Hope mwaikuka
Axante kwa taarifa
Gabriel
Habar njema sana 👍
sabrina
Arsenal waache ubahili inabidi wavunje kibubu wasajili wachezaji mashabiki tumechoka tunataka tuone mpila mzuri The Gunners
Theonestina
Arsenal wataongeza dau tu
Issa
Arsenal wanalengaga sana lakini wanakuwa wagumu kutoa hela sasa mtu kama partey ni makini sana
Povel tz
Gud news
Amiri Kayera
Arsenal wabahili san
Saupha mohamed
Waongeze day arsenal
Shafii
Arsenal acheni ubahili
Frank Patrick
Kama wanamdabodisha mshahara abaki tu
caroline
waache ubahili watumie pesa ili wapate mchezaji bora
Ernest
Je ni kweli Partey anahitajika na washika mitutu wa london!!??
Furahav
Arsenal hawana hela ya kumsajili.
Njiku
Waweke hela mezani mchizi asepe arsenal
Samira
Arsenal sijui hua wanakwama wapi beki huyu ni mahili na anajituma sana wavunje kibubu wampate walete mabadiliko ndani ya timu
Omary lukumbi
Na itakua ngumu kwenda arsenal akaiacha Atletico Madrid watakao shiriki uefa msimu ujao kwenda arsenal hata europa hayupo
Theckla
Shida ya arsenal ni ubahili
mwakalosi
arsenal hakuna issue anaenda kupoteza kiwango chake tu
JULIANA
Asante kwataharifa
Rehema
Safi sana
Lydia Emmanuel Magoti
Arsenal jitafuteni mchueni jembe huyo