Tetesi zinasema Manchester City wametakiwa kuweka mezani kitita cha pauni milioni 65 kwa ajili ya beki wa Napoli Kalidou Koulibaly ,29, ambaye anauhishwa na taarifa za kuhamia Liverpool na Manchester United na awali alikuwa na thamani ya pauni milioni 80.

Manchester City inamtazama mshambuliaji wa Inter Milan Muajentina Lautaro Martinez,22, kama mchezaji muhimu katika kuchukua nafasi ya Sergio Aguero,32.
Hatahivyo, Martinez yuko ukingoni kumalizana na hatua za uhamisho kuelekea Barcelona.
Bayern Munich inatafuta pauni milioni 40 kwa ajili ya kiungo wao wa kati wa zamani Thiago Alcantare, Mhispania ,29.

Bayern wanafikiriwa kujitoa katika kinyang’anyiro cha kumnasa kiungo Kai Havertz,21 anayekipiga na Bayer Leverkusen.
Everton, Atletico Madrid na Bayern Munich wanatarajiwa kuweka nia ya kumnyakua winga wa Crystal Palace Wilfried Zaha msimu huu, huku Newcastle pia ikimfuatilia kwa karibu mchezaji huyo,27.
Southampton wana matumaini ya kupata mkataba wa kudumu wa pauni milioni 10 kwa ajili ya mchezaji wa nafasi ya ulinzi wa Totteham, Muingereza Kyle Walker-Peters,23, ambaye anakipiga Saints kwa mkopo tangu mwezi Januari
Kocha wa Southamton Ralph Husenhuttl amekataa kufanya mazungumzo kuhusu uwezekano wa kubadilishana kiungo wa kati Pierre-Emile Hojbjerg,24, na Walker-Peters.
Kiungo wa kati wa Birmingham Jude Bellingham,17 amekubali kuhamia Borussia Dortumund kwa kitita cha pauni milioni 22.5.

Tetesi zinasema Kiungo wa Ghana Thomas Partey,27, anaripotiwa kujiandaa kusaini mkataba mpya na Atletico Madrid, ambayo imemuahidi kumpa mshahara mara mbili zaidi.
Pep Guardiola amefungua mlango kwa ajili ya kiungo wa kati wa Aston Villa Douglas Luiz,22, kurejea Manchester City baada ya kufuguliwa kwa dirisha la usajili mwezi Julai.
Tetesi zinadai Kiungo wa kati wa Liverpool Adam Lallana,32, ambaye anawaacha miamba hiyo kwa uhamisho huru msimu huu, ananyemelewa na Leicester,Burnley na Brighton.

Tetesi zinasema Beki wa Tottenham Danny Rose,30, ameendelea kuwa na matumaini ya kuufanya mkataba wake kuwa wa kudumu katika klabu ya Newcastle, huku kukiwa na taarifa za kuhusishwa kwake na Lazio.
Middlesbrough wanaelekea kukubali kumpoteza beki wao wa kulia, Muingereza Djed Spence,19 msimu huu wakati vilabu kadhaa vya primia wakiwemo Tottenham, West Ham na Brighton wakijiandaa kuongeza kasi ya kumnasa mchezaji huyo.
Kiungo wa Everton Mo Besic,27, atakuwa tayari kuuzwa au kuondoka kwa mkopo msimu huu.

Portsmouth inatazamia uhamisho kwa mkopo wa beki wa kushoto wa Brighton Alex Cochrane,20.
Kocha wa Wolves Nuno Espirito Santo hana uhakika iwapo mshambuliaji Raul Jimenez,29, atakosa mechi yoyote kwasababu ya kutarajia kuzaliwa kwa mtoto wake wa kwanza.
Kuna ofa kibao sana unazofaidi ikiwa unabashiri na Meridianbet. Jiunge sasa kufurahia ofa zetu
Bonyeza HAPA Kujiunga.


Tatu
Man city wafanye haraka kuweka kitita mezani ili wamchukue kalidou mezani
Ester jackson
Habari nzuri sana ingawa kiungo Kai Havertz,21 ambaye kwa taarifa ninio Iona kwenye mitatando ni kwamba Chelsea walishaweka makubaliano nae ya kumsajili sasa imegeukia kwa Bayern nao wapo kwenye kinyanganyiro cha kulipata saini yake hii inastaajabu sana kuona taarifa zake zipo tena kwenye usajili
mwajumah
Ni habari nzuri#Meridianbettz
aisha
Man city wajitahidi kuweka mzigo mezani ili wamchukue jamaa
Magdalena
City wachangamkie nafasi ya uyo jembe
Fatina mfingi
Wafanye fast wachukue jembe hilo!!
Elika
Man city wafanye juu chini ili waweze kumiliki vizuri huyo beki
Khadija
Chelsea walishaweka makubaliano nae ya kumsajili#meridianbettz
caroline
dah milioni 65 kweli pesa madafu
Angelina
Man city watie mzigo wampate kalidou ni mchezaji mzuri kama wakifanikiwa kumpata
Genia Sikaluzwe
Man City wafanye maamzi benki huyo nimzuri wanastahiri
Dorophina
Man City haache ubaili aweke pesa mezan Mambo yaende sawa
Mwanahamisi
Ni habari njema
Lydia Emmanuel Magoti
Habari nzuri hizo
Johnmary joel
Wajipange vizuri make kitita hicho siyo cha kitoto#meridianbett
Adelta
Asante kwa makala nzuri
Mashabiki tunawakubali Sana meridianbettz
Franky
Safi sana Thomas ..
Ernest
Naona vigogo wawili wakiingia kwenye mbio za kusaka kandarasi ya Lautaro Martinez lakini mwisho wa siku Pesa ndo itaongea hapa
Fatuma kasomo
Wafanye faster wamchukue jembe hilo wanasubiri nini
Aziza mushi
Safii Sanaa.
Isaya massawe
Habari kemkem za michezo na meridianbet noma sana
Samiah
Safi sanaaa
MnonganeJR
Zaha kwa man city..anaenda Lula mkeka
Njoja tusubili na kuona#meridianbettz
Agness
Makayla nzur
Furahav
Iko vizuri
Gabriel
Nimeipenda sana hii kwa kiungo wa kati wa Birmingham Jude Bellingham,17 amekubali kuhamia Borussia Dortumund kwa kitita cha pauni milioni 22.5.
Kiungo wa Ghana Thomas Partey,27, anaripotiwa kujiandaa kusaini mkataba mpya na Atletico Madrid, ambayo imemuahidi kumpa mshahara mara mbili zaidi. (Ghana SoccerNet,via Daily Mail)
Pep Guardiola amefungua mlango kwa ajili ya kiungo wa kati wa Aston Villa Douglas Luiz,22, kurejea Manchester City baada ya kufuguliwa kwa dirisha la usajili mwezi Julai
Kiungo wa kati wa Liverpool Adam Lallana,32, ambaye anawaacha miamba hiyo kwa uhamisho huru msimu huu, ananyemelewa na Leicester,Burnley na Brighton.
Njiku
Good news
farida ahmadi
Habari njema Sana kwetu mashabiki
Samira
Mwisho wa siku pesa ndio itakayoongea nani ni nani
Povel tz
Gud news
sabrina
Manchester city wavunje kibubu tu wamchukue
Amiri Kayera
Habar nzur
Omary lukumbi
Mambo yako moto sana kwenye usajili
Janeflora malisa
Nice
Saupha mohamed
Good news
Edgar
Safi sana
Salma
Habari nzuri
Theckla
Itakuwa imekaa vizuri Sana Kama
man city wakifanikiwa kumsajili
David Pere
Yaani kwa sisi wanamichezo tunasema Mambo mengi muda mchache lakini mpaka usajili utakamilika tu
mwakalosi
man utd haifanyi cha maana ili kuweza kuimarisha kikosi chao
Sadick
Kalidou Koulibaly ndie beki pekee ambaye kila msimu anahusishwa kuhama Klabu yake#meridianbettz
felister
ahsante kwa makala safi
Zeiyana
Sizani kama man city watawepa kuipata sain ya mchezaji huo ukiangalia wametoka kwenye faini ni pesa wametoa ili wamelizani na kesi ila itakua vizuri kama wainasa saini ya mchezaji huyo
Rehema
Meridianbet mko vizur sana makal
Latifa juma mohamed
Safi sanaaa
Shafii
Msimu ujao kweli kutachimbika viwanjani maana timu nyingi zinaangaika kutafuta wachezaji bora vikosini mwao.
Hope mwaikuka
Exn for news
Issa
City wafanye fasta wamsajili koulibaly atawasaidia kwenye ukuta wao
Asia Abdy
Pesa itaongea
Neema juma
Safii sana
warda
Huyu anajua#Meridianbettz
neema hassan
Habari njema