Kocha wa timu ya taifa ya Uholanzi Ronald Koeman yupo mbioni kumalizana na Barcelona kwaajili ya kuchukua nafasi ya Quique Sietien aliyetimuliwa.
Mchezaji huyo wa zamani wa Barcelona aliyekuwa na ndoto za kufundisha miamba hiyo ya Catalan, ameonekana ni mtu muhimu kwa sasa kuchukua mikoba ya Sietien baada ya kuwa na msimu mbovu.

Setiene, 61, alichukua mikoba ya Ernesto Valverde’s mwezi January lakini ameshindwa kuonyesha makali yake kwa kupoteza ubingwa wa La Liga kwa wapinzani wao Real Madrid na kuambulia kipigo cha aibu katika Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Bavarians, Bayern Munichen cha mabao 8-2.
Kocha wa zamani wa Tottenham, Pochettino aliyekuwa bila kazi tangu mwezi November alikuwa anahusishwa pia kukinoa kikosi cha Barcelona.
Lakini Koeman alitajwa kuwa Kocha ambaye angeweza kuipitisha timu katika kipindi hichi cha mpito kabla kiungo wao wa zamani Xavi kuja kurithi mikoba hiyo.

Koeman anakaribia kukubaliana na Barcelona kwa dili la mkataba wa miaka miwili kukinoa kikosi hicho.
Drops and Wins!
Umeijua hii? Ni promosheni kabambe ya ushindi kwenye Casino ya mtandaoni ya Meridianbet! Unaweza kushinda hadi Euro 2,000,000 leo.


lombo
mambo ni moto na meridianbet
Genia Sikaluzwe
Mko vizuri san meridianbet
Lydia Emmanuel Magoti
Ataiweza kweli Barcelona
Shafii
Koeman ni kocha mzuri na mzoefu kwenye mashindano mbali mbali itakua chachu kubwa ya mabadiliko ndani ya kikosi cha barca.
felister
habari njema kwa mashabiki wa barcelona
Janeflora malisa
Good
Furahav
Aje nae apigwe lungu 10 bila.
Sadick
Nampa Kocha Koeman benefit of doubt#meridianbettz
Povel
Kila la kheri Kama watafanikiwah kumsain Kocha huyo
farida ahmadi
Habari njema Sana
Hope mwaikuka
Itakua poa tu kwa hilo
Devotha
Aje bhana huenda akapunguza maumivu ya kupigwa 8
Sabrina
Inapendeza sana kama deal ikitiki
JULIANA
Mmmmh! Tatizo Barcelona wazee wengi
Issa
Koeman akienda barca atawez kuendana na falsafa ya catalunya kwakuwa koeman mfumo ni mpira mirefu
Gabriel
Koeman n kocha mzur sana namkubal
Asia Abdy
Itakua poa sana
Dorophina
Kila lakheri Ronald usipokuwa vizuri na ww watakutimua tu
rama
Maoni:barcelona hadi benchi la ufundi kuna tatizo pale
Nasra
Mambo moto
Flomena
Lakini Koeman alitajwa kuwa Kocha ambaye angeweza kuipitisha timu katika kipindi hichi cha mpito kabla kiungo wao wa zamani Xavi kuja kurithi mikoba hiyo.
Zeiyana
Ni vizuri wangeimarisha na kikosi kwanza wachezaji wengi wazee Barcelona wasiangalie mastar tu wachezaji chipukizi wapo wengi tu jamani wenye uwezo mazuri
Ester jackson
Kila laheri kocha Koeman.
Ernest
Barca wanatapatapa sana ila kiukweli zama za Barca zimekwisha
aisha
Barcelona fanyeni mpango huo mara moja iwezekanavyo
Caroline
Koeman ni kocha mzuri
Tatu
Walichokiondoa ni nn wanaingiza nn Barcelona wanatakiwa waandae vikosi vyao upya ndio watafute coach mpya
Salma ngende
Vizuri sana
Saupha mohamed
Kocha anaejielewa
Christa
Koeman yupo vizuri, watakuwa bora sana
Theonestina
Duuuh atar
Samiah
Vizuri sanaa
Latifa juma mohamed
Kila la kheri Barca km watasadiki kumsaini kocha huyo koeman.
David Pere
Koeman ni kocha mzuri na mzoefu kwenye mashindano mbali mbali itakua chachu kubwa ya mabadiliko ndani ya kikosi cha barca.
warda
Mie yangu macho