Nyota wa Chelsea Timo Werner amesema Mlinzi wa Kati wa Klabu hiyo Toni Rudiger amefanya jitihada kubwa kumshauri ajiunge na Chelsea na kumuelezea mipango ya Timu hiyo katika kuhitaji kushinda mataji.

Werner amesema hata Sasa Rudiger amekuwa Msaada kwake kumpa tafsiri ya lugha pale mwalimu anapotoa maelekezo wakati mwingine huwa anaongea haraka haraka ila mchezaji huyo humsidia.
Timo na Rudiger Wote wanachezea kikosi cha timu ya taifa ya Ujerumani na sasa wamekutana katika klabu ya Chelsea nchini Uingereza.
Klabu hiyo ambayo imewahi kuchezewa na nyota wa Ujerumani Michael Ballack, pia imemsajili kiungo Kai Havertz kw akuvunja rekodi ya klabu na kumfanya kuwa mchezaji ghali zaidi nchini Ujerumani.

Jumala kwa sasa Chelsea ina wachezaji watatu kutoka Ujerumani, Toni Rudiger, Timo Werner na kai Harvertz.
SHINDA NA MERIDIANBET!
Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.


Ernest
Werner anadaiwa magoili na wapenzi wa Chelsea, Hakuna muda wa kupoteza wakati ndio huu
Zeiyana
Timo na Rudiger ni mafundi wa pila Chelsea wamesajili wachezaji wanao jituma sana tunategemea kuona mabadiliko makubwa clabuni hapo
Povel
Werner na rudiger ni marafik co ki vyovyote lazima wanatakuwah wanasaidiana kwa Hali na mali hata ujio wake darajan rudiger amehusika kwa upande fulan thnks meridian kwa update
Dorophina
Msimu huu Werner inabidi kuwafurahisha mashabiki wake wa Chelsea maana bado anadeni
Lydia Emmanuel Magoti
Warner inabidi awatekerezee mashabiki wanacho kitaji inabidi apambane Chelsea maana wanamtian mzito
caroline
chelsea wapo vizuriiii
Tatu
Werner awezi kukaa mbali na Rudiger kwani ndio msaada wake kwa sasa
Sauda
Kwa upande wa Rudiger na werner lazima wasaidiane kwa sababu ni marafiki ambao wanapendana sana.
Mwajumah
Timo na Rudigel ni mafundi sana wa mpira wanajua sana hawa jamaa Chelsea wamepata majembe#Meridianbettz
Elika
Hapo hakuna cha kupoteza maana hapo wote ni mafundi
Nasra
Chelsea wako vzuri
Adelta
Werner anawafurahisha mashabiki@meridianbettz
Mariam mtandama
Chelsea wapo vizur sana
felister
safi washirikiane kwa pamoja ili washinde mataji
Sadick
Rafiki wa kweli ni yule anayekusaidia kufikia malengo yako. Rudiger ni rafiki wa kweli kwa Werner#meridianbettz
Rose kapinga
Ushirikiano ni mzuri katika kazi!!
Devotha
Werner yupo vizuri
Rehema
Asante kwa makala
jullie
chelsea wako juu
Mwajumah
Chelsea wapo vizur
Angelina
Chelsea wako vizuri
aisha
Werner tunasubir tuone makali yake kama ya rb
Gabriel
Timo na Rudiger wanasaidiana kwa Hali na mali hata ujio wake darajan rudiger amehusika kwa upande
Khadija
Werner tunasubili tuone#meridianbettz
Hopemwaikuka
Nmeelewa hii
Issa
Ni wakat wa the blues kutamba
Amiri Kayera
Huu msim huu dah wamejipanga
Saupha mohamed
Good news
Asia Abdy
Nice
Neema
Chelsea wako vizuri mno
Latifa juma mohamed
Chelsea wapo vzur.
David Pere
Timo na Rudiger Wote wanachezea kikosi cha timu ya taifa ya Ujerumani na sasa wamekutana katika klabu ya Chelsea nchini Uingereza.
magdalena
tunasubiria kuona jitihada zake ndani ya timu
warda
Rudiger ni rafiki mzuri sana
Fatina mfingi
Nice
Theonestina
Wapo vizur Sana
Salma ngende
Wapo pouw
Shan
Ni makin sana
Sabrina
Chelsea nouma
Samiah
Nouma Chelsea