Baada ya kumuachisha kazi David Wagner Schalke 04 wanamtafuta kocha mpya kwa kasi ili kuendeleza msimu wa Bundasiliga ulioanza wiki mbili zilizopita.
Anayepigiwa upatu ni kocha wa zamani wa Augsburg Manuel Baum, ambaye ni kocha wa vijana katika shirikisho la kandanda Ujerumani – DFB

Majina mengine ni Ralf Rangnick aliyewahi kuifundisha Schalke 04 mara mbili, kocha wa zamani wa Mainz Sandro Schwarz na Marc Wilmots koicha wa zamani wa timu ya taifa ya Ubelgiji na mchezaji wa zamani wa Schalke.
Schalke 04 ilimuachisha kazi David Wagner baada ya mwanzo mbaya kabisa wa msimu wa Bundesliga. Wamelishwa mabao 11 na kufunga bao moja pekee katika mechi zao mbili za ufunguzi.

Kichapo cha 3 – 1 Jumamosi dhidi ya Werder Bremen kilifuatia kishindo cha 8 – 0 mikononi mwa Bayern. Ina maana Wagner ameongoza timu hiyo katika mechi 18 za mwisho bila ushindi.
Beti kwa Kitochi Kushinda 300,000,000!
Unajua kuwa unaweza kushinda milioni mia tatu kwa buku tu? Ndiyo! Unaweza kushinda kwa kupiga *149*10# na kubashiri. Ingia mchezoni!


Nasra
Duh noma
magdalena
schakle 04 walimpata uyo kocha watakuwa wameula maana kocha yuko makini sana katika kufundisha soka
Sauda
Schalke wakimpata watakuwa wamelamba dume.
Zeiyana
Wamefanya alaka kumuondoa wangempa nafasi yengine hinaweza ndio ukawa mwisho wa makosa yake
Fatina mfingi
Duuh majanga kwake
Johnmary joel
Jamani wangemuacha waone kama hatarudia tena pole yake#meridianbett
Mwanahamisi
Noma sana
Adelta
Wafanye mpango wampate huyo kocha kwa sababu Yuko vizuri na anajuwa anachokifanya
Venerose
Yupo vinzur sana
Caroline
Inabidi watafute kocha mwenye ujuzi mkubwa ili aipeleke timu mbali
Elika
Atafutwe kocha mwingine tuu
Dorophina
Kocha wanae mtaka yupo vizuri katika ufundishaji atawafaa sana kuimarisha kikosi
Mwajumah
Duuh majanga ayo kwake
Latifa juma mohamed
Wakimpata huyu watakuwa wameukata schalke 04.
Sadick
David Wagner ni mhanga wa kwanza kufukuzwa msimu huu baada ya mechi chache msimu huu#meridianbettz
Antony Luseno
Nakala nzuri #meridianbettz
Hopemwaikuka
Ni kocha mzur
Asia Abdy
Itakua poa sana
Shani
Kocha anatkiw airudishe schalke 04 kweny hadh yake
aisha
Kocha mpya anakaz maan anaikuta team bila mda wakuiandaa
Angelina
Kweli majanga
Khadija
Itakuwa poa sana
Saupha mohamed
Kocha yupo vizuri
Issa
Schalke 04 inatakiwa ipate mtu ambae atairudisha kwenye hadhi yake tena
Fatuma kasomo
Itakua poa
Amiri Kayera
Kocha ataitaji kua Makin maan anakutan na team ambay ajapat nayo mda kuiandaa
Neema
Wamtafutee kocha mwingine atakayekuwa makini
Sabrina
Inatakiwa Schalke 04 inabidi wajitahidi kulipigania hili swala wapate kocha bora
Rehema
Iko poa
felister
mmmh
Gabriel
Kocha wanae mtaka yupo vizur
farida ahmadi
Kocha Yuko vizuri Sana
Lydia Emmanuel Magoti
Kocha yupo vizuri
Tatu
Bora wamelivyombadilisha kocha schalke04
Ernest
Schalke 04 imekuwa timu mbovu kupita maelezo kweli kulikuwa na haja ya kubadilisha kocha na kuinusuru timu
Salma ngende
Wapo sahihi
David Pere
schakle 04 walimpata uyo kocha watakuwa wameula maana kocha yuko makini sana katika kufundisha soka
Povel
Baum anastail kuiongoza schalke O4 wampe nafasi na muda kukiongozah kikos hicho
Samiah
Mmmmh