Aliyekuwa nahodha wa Raja Casablanca, Badr Banoun (27) amejiunga rasmi na miamba ya Misri klabu ya Al Ahly kwa kandarasi ya miaka mitatu yenye thamani ya Dola milioni 2 zaidi ya Tsh Bilioni 4.6.

Mshahara wa kila mwaka wa Badr akiwa Al Ahly:
•$ 800,000 katika msimu wa 1.
•$ 900,000 katika msimu wa 2.
•$ milioni 1 katika msimu wa 3.
Jaribu sasa hapa Meridianbet. Ukiacha ukweli kuwa itakupa burudani maridadi, bado inakuhakikishia ushindi mkubwa. Kazi kwako kukusanya ushindi!



Elika
Sahi sana naona kijana kajipatia shavuu
magdalena
kila la kheri kijana
Fatina mfingi
Safi
Adelta
Vizuri Sana kijana
Nasra
Safi sana
Dorophina
Al ahly wamepata kijana makini sana akiwa uwanjani
Khadija
Safi sana kijana
Tatu
Al ahly wamepata mtu makini
Carolyn
Hongera sana Banoun
Mwajumah
Safi sana
Angelina
Safi
Samira
Hongera champ
Lydia Emmanuel Magoti
Safii Sana kila la kheri kwenye kaz yake
Fatuma kasomo
Gud
Saupha mohamed
Good
Sabrina
Kaka karibu Al Ahly
felister
kila la kherii
Janeflora malisa
Saf
Ester jackson
Safii sana
Rahma
Nice
zeiyana
bonoun yupo sehemu sahii
Povel
Welcome club of century Alhly🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Issa
Al ahly imepata mtu hapa