Marco Verratti amepiga hatua katika maendeleo yake kutokana na kuwa na jeraha la paja kwa kurejea mazoezini, Paris Saint-Germain siku ya Jumatano.
Kiungo huyo akiwa amerejea kutoka kwenye majukumu katika timu ya taifa mwezi Oktoba, alikosa mechi saba katika mashindano yote.

Kurejea kwake kutaongeza nguvu katika kikosi cha Thomas Tuchel, ambaye amekuwa na idadi kubwa ya majeruhi ambao ni wachezaji tegemezi msimu huu.
Verratti ameanza kufanya mazoezi binafsi na Mauro Icardi anatarajiwa kuungana naye wiki hii.
Paris Saint-Germain wameshinda michezo yao mitano yote katika Ligue 1 bila uwepo wa Verratti msimu huu, na kiungo huyo wa Italia alipangwa katika michezo miwili ya ufunguzi ambayo PSG ilipoteza msimu huu.
PSG, wanashikiria usukani wa Ligue 1 wakiwa wamekusanya alama 24 kutoka kwenye michezo kumi ingawa walionekana kusuasua mwanzoni mwa msimu kwa kufungwa mechi mbili za ufunguzi.
Jaribu sasa hapa Meridianbet. Ukiacha ukweli kuwa itakupa burudani maridadi, bado inakuhakikishia ushindi mkubwa. Kazi kwako kukusanya ushindi!



Elika
Dah afadhar karejea mchezon
Fatina mfingi
Safi sana karibu tena mchezoni
Shakila mrope
Afadhali arudi mchezoni
magdalena
karibu tena dimbani kijana pambana sasa wakati ni wako
Adelta
Ni vizuri karudi mzigoni
Nasra
Karibu tena
Khadija
Karibu tena dimbani
Dorophina
Habari njema kwa tuchel maaana wachezaji wake wengi waliandamwa na majeraha
Tatu
Bora alivyoludi mchezon
Carolyn
Safi Sana Karibu tena uwanjani
Mwajumah
Bora amelejea mchezoni
Angelina
Wellcome again Verratt
Samira
Habari njema kwa PSG na mashabiki wao
Lydia Emmanuel Magoti
Habari njema kwamashabiki
Fatuma kasomo
Saf arejee mchezoni
Saupha mohamed
Safi sana
Sabrina
Karibu kikosini Verratt
felister
karibu tena
Janeflora malisa
Asnt kwa taarif meridianbet
Ester jackson
Karibu kambini
Rahma
Nice
zeiyana
majerui yamekua yakimuandama sana verratti sijui kama hatarudi kweny ali yake ile ya zamani
Povel
Habar njema kwa mashabiki wa psg kwa urejeo wa veratti
Issa
Amerikava kwa muda mfupi nafikir ujio wake utaongrza makali safu ya kiungo kwa psg