Jesus: Brazil Haimtegemei Neymar Pekee.

Gabriel Jesus ameitaka Brazil kudhihirisha kwa mara ya nyingine kama wanaweza kushinda bila uwepo wa Neymar baada ya kuthibitika nyota huyo ataukosa mchezo wa kufuzu kucheza World Cup 2022 dhidi ya Venezuela.

Mchezaji huyo wa Selecao anayevalia jezi namba 10 mgongoni anapambana na majeraha yaliyopelekea akose michezo mitatu ya Paris Saint- Germain katika mashindano yote, ukijumuishwa mchezo waliyopteza katika Champions League dhidi ya RB Leipzig.

Neymar mwenye umri wa miaka 28 kwenye nusu fainali ya kombe la dunia mwaka 2014 alikosa mchezo dhidi ya Ujerumani na dunia ikishuhudia Brazil ikipokea kipigo cha aibu wakiwa nyumbani.

Lakini vijana wa Tite pia hawakuwa na Neymar mwaka uliyopita kwenye fainali ya Copa America na Brazil ilishinda kombe hilo na Jesus haamini kama timu yake itakua na la kujitetea kama wasipo shinda.

“Kimsingi tunaongelea umuhimu wa Neymar akiwa katika timu ya taifa na klabu, kile anachotoa kila siku, Mimi ni shabiki yake mkubwa alisema fowadi huyo wa Manchester City.

“Tukiwa na Neyamr tunakaribia zaidi ushindi lakini the Selecao wanaweza kucheza na kushinda bila Neymar.

“Mara nyingi tumekuwa tukitaka uwepo wake uwanjani kwa sababu anafunga na kutoa asisti, lakini asipokuwepo inatubidi tugawane majukumu.

Jesus ambaye alifunga magoli yote na baadaye kutolewa nje katika fainali ya Copa America anajiandaa kutumia nafasi yake baada ya kukosa michezo iliyopita wakati wa mapumziko ya mechi za kimataifa.

“Mara zote nataka kucheza na kuisadia timu na wakati huu nimekuja nikiwa sawa 100% nipo tayari kuisadia timu yangu.


UMEJARIBU HII POKER YA VIDEO?

Jaribu sasa hapa Meridianbet. Ukiacha ukweli kuwa itakupa burudani maridadi, bado inakuhakikishia ushindi mkubwa. Kazi kwako kukusanya ushindi!

Meridianbet Casino

INGIA MCHEZONI!

23 Komentara

    kabisa maana wapo wachezaji wazuri na bora kuliko neymar

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Asante kwa makala

    Jibu

    Inaweza ikawa neymar ndio ameibeba timu ndiomaana awawezi bila neymar

    Jibu

    Brazil wanamasteka wengi ila neymar ndio kaibeba timu

    Jibu

    Safi Sana.Jesus.msiishi kwa kumtegemea fulani .mtafeli

    Jibu

    Safi sana hakuna kuishi kwa kumtegemea mtu

    Jibu

    Ni jambo zuri kujiamin bila uwepo wa Nymar

    Jibu

    Ni vizuri kutambua hilo coz ushirikiano unatakiwa kwa wote sio kwa mtu mmoja

    Jibu

    Ni jambo jema

    Jibu

    Nikweli kabisa Kuna wachezaji makini Sana

    Jibu

    Ni kweli kikosi kizima akiwezi mtengemea mtu mmoja ila akiondoka yy kunapeng tu litakiwep kwa mud tu then Mambo yatakuwa saw

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Neymar ndo kiboko yao

    Jibu

    Neymar jeshi

    Jibu

    habari njema

    Jibu

    Asnt kwa taarif meridianbet

    Jibu

    Kwenye ukweli tuseme nerymaa anamchango wake kwenye timu take yataifa ingawa inabidi kwenye timu zetu za taifa wachezaji wajifuze kucheza vema kuliko kumtegemea mchezaji wa aina yoyote ile

    Jibu

    Asnte kwa makala

    Jibu

    ni kweli jesus yupo sahihi kila mda na wakati wake neymar hatabaki kua kama neymar lakini wasiyanye hakawa kama tegemenzi kwenye timu kila mchezaji hashike nafasi yake

    Jibu

    Nice update

    Jibu

    Brazil ina vipaji vingib sana na neymar amekua kama ndio character kubwa ndan ya timu

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.