Liverpool wanafikiria kumsajili beki Ezequiel Garay kwa mkataba wa miezi 6 ili kuziba nafasi ya mabeki ambao majeruhi ndani ya klabu hiyo.
Garay mwenye umri wa miaka 34 ni mchezaji huru baada ya kuondoka Valencia mwishoni mwa msimu uliopita.

Wachezaji wa Liverpool ambao ni mabeki 3 wameumia katika kipindi cha chini ya mwezi mmoja na kuzua taharuki kwa kocha klopp ambaye ana kabiliwa na mashindano mengi msimu huu.
Mabeki walioumia ni pamoja na Virgil van Dijk, Joe Gomez na Trent Alexander Arnold ambao wamekuwa wachezaji muhimu waliosaidia timu hiyo kutwaa Kombe la Ligi kuu nchini Uingereza – EPL.
Mchezaji huyo ataruhusiwa kusaini na Mabingwa hao watetezi muda wowote kwasababu ni mchezaji huru.
Jaribu sasa hapa Meridianbet. Ukiacha ukweli kuwa itakupa burudani maridadi, bado inakuhakikishia ushindi mkubwa. Kazi kwako kukusanya ushindi!



magdalena
karibu anfield kijana chapa kazi
Elika
Kazi kazi karibu sana
Fatina mfigi
Karibu San
Adelta
Mashabiki tunakukaribisha👏👏
Dorophina
Kila lakheri garay big deal kwake
Nasra
Gud
Khadija
Karibu sana
Tatu
Liverpool amefanya jambo zuri kumsajili garay kwa kipindi hchi cha majeruhi
Carolyn
Good idea..
Mwajumah
Karibu sana
Angelina
Vizuri
Samira
Liverpool wanazidi kujiimarisha
Lydia Emmanuel Magoti
Safii Sana wa mepata bonge la mchezaji
Fatuma kasomo
Gud news
Saupha mohamed
Good
Sabrina
Your welcome
felister
safi
Janeflora malisa
Safi
Ester jackson
Good
zeiyana
liverpool wanahari ngumu sana ukiangalia mabeki wao tegemezi wote wapo nje
Povel
Habar njema kwa mashabik wa anfield Kama deal hlo litakamilika
Rahma
Kalibu sana