Balotelli Ahusishwa Kucheza Misri/Egypt.


Klabu ya Pyramids ya nchini Misri imejitosa katika mazungumzo ya kunasa saini ya straika Mario Balotelli ( 30 ).

Mshambuliaji huyo wa zamani wa Inter Milan, Man City , AC Milan na Liverpool kwasasa hana timu baada ya kuondoka Brescia , Julai 2020.

 

Balotelli Ahusishwa Kucheza Misri/Egypt.

Hata hivyo hatakuwa Balotelli mchezaji wa kwanza kujiunga na vilabu vya barani Afrika baada ya mapema wiki iliyopita mchezaji wa zamani wa Arsenal na Barcelona Alex Song kujiunga na klabu ya nchini Djibouti.

Mario pia aliwahi kutajwa na jarida maarufu kuwa ni moja ya vipaji vikubwa duniani katika mchezo wa kandanda klaba ya kugeuka nakuwa kipaji kilichosumbua dunia.


UMEJARIBU HII POKER YA VIDEO?

Jaribu sasa hapa Meridianbet. Ukiacha ukweli kuwa itakupa burudani maridadi, bado inakuhakikishia ushindi mkubwa. Kazi kwako kukusanya ushindi!

Meridianbet Casino

INGIA MCHEZONI!

20 Komentara

    jambo jema kama wameamua kujitosa kikubwa mkwanja tu wa kutosha

    Jibu

    Vizur chamsing ni kuangalia maslahi tu

    Jibu

    Ni vizuri kikubwa mipesa tu

    Jibu

    Ni Jambo jema kwao

    Jibu

    Itakuwa poa baloteli akienda huko Misri

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Kafanya jambo zuri kwenda uko

    Jibu

    Popote kambi ww nenda kapige kazi

    Jibu

    Balotel anajua

    Jibu

    Itakua pow sana Balotel akienda huko misri

    Jibu

    Ntafurahi sana akipata nafasi huko Misri

    Jibu

    Imekaa poa kwake

    Jibu

    Vizuri kikubwa masilai tuuu mapambano yanaenderea

    Jibu

    Kambi popote

    Jibu

    Jambo jema

    Jibu

    Fresh tu

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Kikubwa pesa tu

    Jibu

    Kila la kheri Pramid Kama watapata saini ya mchezaji huyo

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.