Tetesi zinasema Juventus iko tayari kubadilishana wachezaji ambapo mpango huo utamfanya winga wa Juvetus Christiano Ronaldo kujiunga na PSG huku mshambuliaji wa Brazil Neymar akielekea Juventus.
Hatahivyo , Ronaldo anafikiria kurudi katika klabu yake ya zamani Manchester United.
Babake Lionel Messi ambaye pia ni ajenti wake amekana ripoti kwamba mshambuliaji huyo ana mipango ya kujiunga na PSG kutoka Barcelona msimu.
Tetesi zinasema Manchester United inapanga kumuuza kiungo wa kati wa Ufaransa Paul Pogba 27 wakati wa dirisha la uhamisho la msimu ujao.

Tottenham Hotspur imeanza mazungumzo na mshambuliaji wa Korea kusini Son Heung -min . Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 huenda akapatiwa kandarasi ya hadi 2026 yenye thamani ya £200,000 kwa week.
Kiungo wa kati wa Liverpool Georginio Wijnaldum, 30, bado hajatia saini kandarasi mpya . Mkataba wa raia huyo wa Uholanzi katika klabu hiyo unakamilika mwisho wa msimu huu.
Mkufunzi wa Barcelona Ronald Koeman amesema kwamba Wijnaldum huenda akahitajika katika siku zijazo na mabingwa hao wa Uhispania.
Liverpool imehusishwa na uhamisho wa beki wa Austria David Alaba lakini Bayern Munich haitamuuza mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 , mwezi Januari , licha ya kabdarasi yake kukamilika msimu huu.

Beki wa Burnley James Tarkowski anasema kwamba ofa ya mkataba mpya haijamfurahisha . Mchezaji huyo wa England , mwenye umri wa miaka 27 anasema kwamba hana hamu ya kuweka kandarasi mpya na Clarets.
Tetesi zinasema Arsenal ina hamu ya kumsajili beki wa kati wa klabu ya RB Leipzig na Ufaransa Ibrahima Konate, 21, na kiungo wa kati wa Ufaransa Christopher Nkunku, 22.
Tetesi zinasema Athletic Bilbao inafikiria kumsajii aliyekuwa mkufunzi wa Tottenham Muaricio Pochettino kama mkufunzi wao.
Tetesi zinasema Crystal Palace na Aston Villa zote zina hamu kumsajili winga wa Benfica na Portugal Fabio Baptista, 19.
Jaribu sasa hapa Meridianbet. Ukiacha ukweli kuwa itakupa burudani maridadi, bado inakuhakikishia ushindi mkubwa. Kazi kwako kukusanya ushindi!



magdalena
ronaldo bora aende tu united kama mawazo yake yanamtuma ivyo
Elika
Huyo ronaldo nae mbona anachanganya vichwa sasa
Fatina mfigi
Ilikuwa kwa messi katuchangany vichwa now ronald popote aende cc mashabik wake tutamfat
Adelta
Hapo kazi ipo ngoja tuone
Mwajumah
Ronaldo nae anaanza kutuchanganya sasa
Dorophina
Man u Ni bora tu wamuuze pogba
Khadija
Ronald atulie sehemu moja mbona anashida sana
Tatu
Psg wanamtaka ronaldo kwa mda mrefu
Carolyn
Asante kwa taarifa
Angelina
Nice update
Lydia Emmanuel Magoti
Kilamtu atulie anapo paona Pana mfaa aupige mpila
Fatuma kasomo
Asante kwa taarifa meridianbet
Saupha mohamed
Good news
Sabrina
Ronaldo na Neymar wanabadilishana
Janeflora malisa
Saf
Rahma
Safi Asante kwa tahalifa
Povel
Nice information