Suluhisho ni Pogba Kuondoka United?

Suala la hatma ya Paul Pogba limeingia katika sura mpya, likiendelea kugonga vichwa vya habari za michezo huku wadau wakiwa na mitazamo tofauti.

Sifahamu wewe una mtazamo gani ya hili, Ally McCoist wa Talksport anaamini kuna tatizo United na Pogba anapaswa kuondoka.

Pogba ameendelea kuwa na msimu mgumu chini ya Ole Gunnar, huku akionekana kuwa sio tegemezi sana chini ya meneja huyu ambaye amekuwa akitumia kama ziada kwenye mechi nyingi hivi karibuni.

Meneja wake wa timu ya taifa, Didier Deschamps aliweka wazi kuwa ni wazi kuwa Pogba hafurahii nafasi yake United wala mda wake wa kucheza kwa sasa.

Tangia mwezi Januari, United wamekuwa na Bruno Fernandez, ambaye anachukua nafasi kubwa ya Paul Pogba. Fernandez amekuwa akiendana vyema na Scott McTominay na Fred. Hivyo nafasi ya Pogba imekuwa ni ziada kutokana na uwepo wa Fernandez na sababu zingine ambazo Ole Gunnar yeye anaona ni za msingi.

Swali kubwa ni kuwa, ikiwa Pogba anashindwa kupata nafasi kwenye kikosi cha kwanza cha Manchester United kuna haja ya yeye kusalia klabuni hapo?

Sasa Ally McCoist anasema kuwa, ipo wazi kuwa kuna tatizo kati ya pande hizo mbili, klabu na Pogba. Na suluhisho pekee la mgogoro huu ni Paul Pogba Kuondoka tuu kwa sasa.

Wewe una mtazamo gani juu ya hili? Achia Comment yako hapa chini. 😊


 

UMEJARIBU HII POKER YA VIDEO?

Jaribu sasa hapa Meridianbet. Ukiacha ukweli kuwa itakupa burudani maridadi, bado inakuhakikishia ushindi mkubwa. Kazi kwako kukusanya ushindi!

Meridianbet Casino

INGIA MCHEZONI!

 

20 Komentara

    Asante kwa taarifa meridianbet

    Jibu

    dah pogba akiondoka united kutakuwa na pengo kubwa sana maana sizani kama atatokea wa kushika nafasi yake akafit

    Jibu

    Pogba nae kama anataka kwenda huko na aende tuu

    Jibu

    Jamani aiondoke abaki tu Manchester pengo lake ataziba nani sasa

    Jibu

    Pogba kikubwa maslai

    Jibu

    Pogba haongee na huongozi kama mda wake wa kutumikia man u umeisha ili akatafute klabu nyingine ya kuitumikia

    Jibu

    Aangalie maslai tu

    Jibu

    Pogba achukue maamuz sahihi

    Jibu

    Pogba angeenda zake kutafuta upepo mwingine hapo kiwango chake cha uchezaji kitashuka

    Jibu

    Pogba amekua na msimu mgumu Sana bora ahame tu Man U

    Jibu

    Pogba kama anataka aende uko aende tu

    Jibu

    Pogba nae anatuchanganya

    Jibu

    Na aondoke tu tumemchoka hana maajabu

    Jibu

    Uwamuzi niwake aende au asiende kwasababu mtu usimlazimishe mtuu badae mtu ujaujutia kuto fanya vizuri kwenye krabu Pogba Kama unataka kusepa wewe sepa tuu

    Jibu

    Kambi popote

    Jibu

    Asepe tu pogba kashaitumikia man vyakutosha

    Jibu

    Uwamuz ni wake

    Jibu

    Masilai ndo Kila kitu hangalie maslai

    Jibu

    Uwamuzi ni wake kubaki old Trafford au kwenda popote anapo pataka

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.