Laporta - Nikiwa Raisi Haaland Anatua.


Joan Laporta raisi wa zamani wa klabu ya Barcelona ya Uhispania ameendeleza kampeni zake za kugombea karata ya uraisi mwezi marchi 2021.

Raisi huyo wa zamani ameammua kugombea tena nafasi hiyo baada ya raisi wa sasa kujiuzuru mapema mwezi huu baada ya shutuma kadhaa ikiwemo sakata la matumizi mabaya ya fedha na uhamisho wa kipenzi cha wakatalunya Lionel Messi.

 

Laporta amejinadi kama akifanikiwa kuwa Rais ana mpango wa kumsajili mshambuliaji hatari wa Borussia Dortmund ya Ujerumani na timu ya taifa ya Norway, Erling Braut Haaland.

Atatumia wadhifa, urafiki wake na Mino Raiola ili amsaidie kumshawishi mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Norway kuhamia Barcelona.


USICHELEWE KUKAMATA MKWANJA HUU!

Hadi 130,000,000 TSH Kutolewa kwa washiriki wa shindano la Playson Cashfall. Unaipata kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet Pekee. Jisajili sasa, kisha ingia mchezoni kabla ya Novemba 29.

Meridianbet Tanzania Casino

SOMA ZAIDI

21 Komentara

    Labda laporta akipata nafasi ya uraisi anaweza kuleta Barcelona

    Jibu

    🔥

    Jibu

    Itakua poa sana

    Jibu

    Wampe tu

    Jibu

    Itakuwa bora sana

    Jibu

    Ni jambo ziri kwani halaand kwa sasa yupo kwenye kiwango bora Sana.

    Jibu

    Apewe tuu nafasi maana huwezi jua nini atafanya

    Jibu

    Haland Yuko katika kiwango kizuri

    Jibu

    Yaan utanifurahisha sana

    Jibu

    itakuwa bora sana

    Jibu

    Hitakuwa poa sana

    Jibu

    Apewe nafasi nyingine tu

    Jibu

    Imekuwa ni karata ya kawaida kutumika kwa wanaotaka urais iwe Barcelona ama Real Madrid. Mwaka 2000 Luis Figo alisajiriwa na Real Madrid kwa usajiri uliovunja record ya wakati huo kutokana na mgombea wa Urais Madrid kuahidi kwamba endapo angechaguliwa basi angemnunua Luis Figo na hicho kilitokea.

    Jibu

    Haaland jesh

    Jibu

    Wakimpa nafasi atafanya vizuri tena

    Jibu

    Habari njema sana hii wampatie tu nafasi

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Jambo zuri

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Naona Mpaka Mbappe atatua

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.