Staa wa AC Milan, mkongwe Zlatan Ibrahimovic ameamua kufunguk aya moyoni na kuwaambia watu waache kudata na jina kwa kuwa ni staa.

Zlatan Ibrahimovic: “Sehemu nilipozaliwa “ROSENGARD” ilitawaliwa na uharifu wa kila namna.

 

ibrahimovic, Ibrahimovic -Usiangalie Jina, Nimepitia Msoto., Meridianbet

Baba yangu alikuwa ni mlevi na alitarikiana na mama yangu nikiwa na umri wa miaka miwili (2). Kuna nyakati kadhaa ambapo sikuwa na kitu chochote cha kula wala sehemu ya kulala.

Nilikuwa na uchu wa soka japokuwa kwa kipindi kile sikuweza kununua viatu vya soka. Nilicheza peku peku kule mitaani.

Leo wanaliona jina langu kwenye mabango. Lakini hawawezi kujua ni kwa namna gani nilijitoa.” alisema Zlatan.


USICHELEWE KUKAMATA MKWANJA HUU!

Hadi 130,000,000 TSH Kutolewa kwa washiriki wa shindano la Playson Cashfall. Unaipata kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet Pekee. Jisajili sasa, kisha ingia mchezoni kabla ya Novemba 29.

Meridianbet Tanzania Casino

SOMA ZAIDI

20 MAONI

  1. Kujitambua na kupigania ndoto zako ndio kitu muhimu ktk maisha. Maisha ya namna hii amepitia CR7 ndio maana anapigania mpaka leo

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa