Joan Laporta raisi wa zamani wa klabu ya Barcelona ya Uhispania ameendeleza kampeni zake za kugombea karata ya uraisi mwezi marchi 2021.

Raisi huyo wa zamani ameammua kugombea tena nafasi hiyo baada ya raisi wa sasa kujiuzuru mapema mwezi huu baada ya shutuma kadhaa ikiwemo sakata la matumizi mabaya ya fedha na uhamisho wa kipenzi cha wakatalunya Lionel Messi.

 

laporta, Laporta – Nikiwa Raisi Haaland Anatua., Meridianbet

Laporta amejinadi kama akifanikiwa kuwa Rais ana mpango wa kumsajili mshambuliaji hatari wa Borussia Dortmund ya Ujerumani na timu ya taifa ya Norway, Erling Braut Haaland.

Atatumia wadhifa, urafiki wake na Mino Raiola ili amsaidie kumshawishi mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Norway kuhamia Barcelona.


USICHELEWE KUKAMATA MKWANJA HUU!

Hadi 130,000,000 TSH Kutolewa kwa washiriki wa shindano la Playson Cashfall. Unaipata kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet Pekee. Jisajili sasa, kisha ingia mchezoni kabla ya Novemba 29.

Meridianbet Tanzania Casino

SOMA ZAIDI

21 MAONI

  1. Imekuwa ni karata ya kawaida kutumika kwa wanaotaka urais iwe Barcelona ama Real Madrid. Mwaka 2000 Luis Figo alisajiriwa na Real Madrid kwa usajiri uliovunja record ya wakati huo kutokana na mgombea wa Urais Madrid kuahidi kwamba endapo angechaguliwa basi angemnunua Luis Figo na hicho kilitokea.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa