Staa wa AC Milan, mkongwe Zlatan Ibrahimovic ameamua kufunguk aya moyoni na kuwaambia watu waache kudata na jina kwa kuwa ni staa.
Zlatan Ibrahimovic: “Sehemu nilipozaliwa “ROSENGARD” ilitawaliwa na uharifu wa kila namna.

Baba yangu alikuwa ni mlevi na alitarikiana na mama yangu nikiwa na umri wa miaka miwili (2). Kuna nyakati kadhaa ambapo sikuwa na kitu chochote cha kula wala sehemu ya kulala.
Nilikuwa na uchu wa soka japokuwa kwa kipindi kile sikuweza kununua viatu vya soka. Nilicheza peku peku kule mitaani.
Leo wanaliona jina langu kwenye mabango. Lakini hawawezi kujua ni kwa namna gani nilijitoa.” alisema Zlatan.
Hadi 130,000,000 TSH Kutolewa kwa washiriki wa shindano la Playson Cashfall. Unaipata kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet Pekee. Jisajili sasa, kisha ingia mchezoni kabla ya Novemba 29.



Tatu
Kweli watu wengi wenye majina makubwa wametoka mbali wamepitia msoto ila ukiangalia ukubwani utafikili wamepata raha tangia utoto
Fatina mfingi
Kweny mafanikio yoyote chngamoto lazima
Janeflora malisa
Safi
Sabrina
Watu wanatoka mbali
Shakila mrope
Good
Sauda
Amepitia mengi sana
Shafii
Maisha ndo yako ivo anaepambana ni rahisi kufanikiwa.
aisha
Duuh pole sana ibra halafu tena hongera maana uliukataa umasikini ndio maana ulipambana vya kutosha
Hopemwaikuka
Hakuna ktu rahis bila msoto
Mwanahamisi
Safi
Lydia Emmanuel Magoti
Hakuna kitu rahisi
Nasra
Kila jambo na ugumu wake
Sadick
Kujitambua na kupigania ndoto zako ndio kitu muhimu ktk maisha. Maisha ya namna hii amepitia CR7 ndio maana anapigania mpaka leo
Issa
Mamba mtu mbaya kadabla
lombo
mmh
Dorophina
Ibrahimovic ametoka mbali sana
Magdalena
Msoto alioupitia ndo umempa umaharufu
Mariam mtandama
Duuuh
Fatuma kasomo
Nikweli kabisa
warda
Mafanikio yanahitaji msoto hakunaga kitu rahisi