Arsenal Itaweza Kulinda Rekodi ya Miaka 33 Boxing Day?


 

Klabu ya Arsenal haijapoteza mechi yoyote ya Ligi kuu siku ya Boxing Day kwa takribani miaka 33 sasa.

Mara ya mwisho Gunners kupoteza mechi ya Ligi kuu siku ya Boxing Day ilikuwa mwaka 1987 walifungwa dhidi ya Nottingham Forest kwa bao 2-0.

 

Gunners hajapata ushindi mechi 7 mfululizo chini ya Mikel Arteta Amepoteza 5 Sare 2, mara ya mwisho kupata ushindi ilikuwa November 1 dhidi ya Manchester United pale Old Traford.

Arsenal Vs Chelsea Uwanja : Emirate Stadium Muda: Saa 2:30 Usiku

Odds:

Arsenal 3.57
Sare X 3.28
Chelsea 2.11


VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!

Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini???

SOMA ZAIDI

13 Komentara

    Arsenal mnastahili pongezi 👏👏👏

    Jibu

    Sidhani kama ataweza mana atacheza kwa kupanic na hii mechi arteta anahitaji utulivu

    Jibu

    Arsenal mko vizuli

    Jibu

    Sizani ngoja tuone

    Jibu

    Leo kazi ipo

    Jibu

    Leo kazi ipo hakika arsenal the Gunner one.

    Jibu

    Leo kazi ipo

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Ngoja tuone

    Jibu

    Wanaweza

    Jibu

    Arsenal wako vizuri

    Jibu

    Ngoja tuone Arsenal Kama wataweza kweli

    Jibu

    Kazi ipo

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.