Uongozi wa Klabu ya Simba SC umetangaza rasmi jana Januari 7 kuachana na Sven Vandenbroeck raia wa Ubelgiji aliyekuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo.
Hii ikiwa ni siku moja baada ya Mnyama kutinga hatua ya makundi kwa ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya FC Platinum kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa, Januari 6.

Simba ilipoteza mchezo wa kwanza ugenini, Uwanja wa Taifa wa Zimbabwe kwa kufungwa bao 1-0 ila ushindi walioupata jana Uwanja wa Mkapa wa mabao 4-0 umewafanya wasonge mbele kwa jumla ya idadi ya mabao 4-1.
Sven alipokea mikoba ya Patrick Aussems ambaye alifutwa kazi kwa kushindwa kuifikisha timu hiyo hatua ya makundi baada ya kutolewa na UD Songo kwenye hatua ya awali.
Taarifa rasmi iliyotolewa na Klabu hiyo ya Msimbazi imeeleza namna hii:-

Ndio, kwetu Mteja ni mfalme. Jiunge sasa na familia ya Meridianbet bila malipo yeyote na sisi tutakuzawadia bonasi ya shilingi 3,500 kama sehemu ya kukukaribisha kwenye familia hii BURE!!!. Unasubiri nini??



Shakila mrope
Ni uamuzi wao
David Pere
Sven alipokea mikoba ya Patrick Aussems ambaye alifutwa kazi kwa kushindwa kuifikisha timu hiyo hatua ya makundi baada ya kutolewa na UD Songo kwenye hatua ya awali.
Adelta
Waangaliye maamuzi yawe sahii wasije
Kujutia baadaye
Sania
Simba wanayumba
Magdalena
Aende atapatikana mwingine mzuri zaidi yake tu
Hopemwaikuka
Kwann lakin
Lydia Emmanuel Magoti
Sven yupo vizuri ila wanasimba tuna bugi Sana Sven amefanya mengi makonbe kutuletea msimbazi ngao pia leo mnataka kumtimua angarie mbele kabla yakufanya mamuzi
Gabriel
Acha tuone
Sabrina
Simba vp tenaaa jirani
Sarah
Inakuaje tena simba
farida ahmad
Maamuzi yao
Rahmal
Mbona ivyo jaman
Mwanahamisi
Maamuzi ni hayo
Dorophina
Yamekuwa hayo tena wakati kawaletea ushindi
Angelina
Duuh mbona hatari sasa
aisha
Simba wanakwama
Issa
Simba imeboa
warda
Kishingo wetu jamani