Mesut Ozil Mbioni Kujiunga Fenerbahce.

Usajili wa dirisha dogo umeingia kwenye wiki 2 za mwisho na macho ya wengi yapo pale Emirate. Inasadikika kuwa Mesut Ozil yupo mbioni kutimkia Fenerbahce.

Imeripotiwa kuwa Ozil anakamilisha taratibu za kuvunja mkataba wake na Arsenal na atajiunga na Fenerbahce kama mchezaji huru.

Hii ni baada ya maongezi kati ya Mkurugenzi wa Michezo wa Arsenal (Edu), Mtendaji Mkuu wa Fenerbahce (Emre) na wakala wa Mesut Ozil kuzaa matunda. Arsenal waliweka wazi adhma yao ya kutaka kuachana na Ozil mwezi huu kabla ya mkataba wake kumalizika mwishoni mwa msimu.

Kama usajili huu utakamilika ndani ya siku chache zijazo, pengine ikawa ni suluhisho sahihi wa Ozil na klabu ya Arsenal ambapo kumekuwa na maneno mengi yanazozua hali ya sintofahamu kuhusu mchezaji huyo na uongozi wa klabu hiyo.


MERIDIANBET INAKUPA NAFASI YA KUWA MILIONEA KWA KILA BAADA YA DAKIKA 5

Mchezo wa Keno unakupatia fursa ya kuibuka kidedea kupitia droo zinazochezwa kila baada ya dakika 5 tu!! Tunaposema Meridianbet ni nyumba ya mabingwa, tunamaanisha!!

INGIA MCHEZONI

18 Komentara

    Kila la kheri ozil

    Jibu

    Ozil Kila la kheri

    Jibu

    Ozil karibu chama la wajanja

    Jibu

    Ozil noma

    Jibu

    Habari njema meridian bert

    Jibu

    Ozil piga kazi

    Jibu

    Ozili kila lakheri

    Jibu

    Itakuwa poa sana

    Jibu

    well

    Jibu

    Kila lakheri ozil

    Jibu

    Hatimaye ameamua kutema mshahara wa Euro 350,000/= kwa wiki.

    Jibu

    Bora asepe

    Jibu

    Safiii

    Jibu

    Ozil hana bahat

    Jibu

    kila la kheri ozil

    Jibu

    Ozil nyota iliyofifia Arsenal ingawa alikua ni moja kati ya nguzo Arsenal naona ni bora tu akafungua milango kwenda klabu nyingine.All the best

    Jibu

    Panafaa pia

    Jibu

    Aende tu

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.