Partey Kurejea Dhidi ya Manchester United.


 

Mchezaji wa Arsenal, Thomas Partey anatarajiwa kurejea katika eneo lake la kiungo mkabaji katika mchezo dhidi ya Manchester United siku ya Jumamosi baada ya kukaa nje kutokana na Majeraha.

Partey alitolewa nje mapema kipindi cha pili katika mchezo dhidi ya Southampton siku ya Jumanne waliposhinda magoli 3-1.

 

Thomas Partey.

Sina Uhakika,” alisema Arteta siku ya Alhamisi. “Walipata majeraha kidogo katika maeneo tofauti, tutaona jinsi gani watarejea. Tuna siku kadhaa mpaka siku ya mchezo lakini ngoja tuone watarejea vipi.

Taarifa za kuaminika za karibu na mchezaji huyo zinasema amepona na chanzo cha karibu cha mchezaji huyo kinasema anaweza kupata muda katika mechi dhidi ya United.

 


MSHINDANI HUSHINDA BWANA!

Anayejaribu hawezi kutoka kapa Meridianbet! Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inakuhakikishia ushindi mkubwa kila unapojaribu kuingia mchezoni. Washindi hushindana, ingia mchezoni!

Fairy-in-Wonderland_Casino-Post_25-January

CHEZA SASA

12 Komentara

    Taarifa za kuaminika za karibu na mchezaji huyo zinasema amepona na chanzo cha karibu cha mchezaji huyo kinasema anaweza kupata muda katika mechi dhidi ya United.

    Jibu

    The gunners tutawakalsha

    Jibu

    Karibu Sana tusubiri tuone maajabu yake

    Jibu

    Partey fundi sana

    Jibu

    Ngoma ya leo

    Jibu

    Habari njema thomasi kurudi kikosini

    Jibu

    Namkubal Sana

    Jibu

    Yupo vizuri

    Jibu

    Habari njema jembe kurudi kikosini

    Jibu

    Yuko poa

    Jibu

    Yuko vizur

    Jibu

    iko poa

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.