Mchezaji wa Arsenal, Thomas Partey anatarajiwa kurejea katika eneo lake la kiungo mkabaji katika mchezo dhidi ya Manchester United siku ya Jumamosi baada ya kukaa nje kutokana na Majeraha.
Partey alitolewa nje mapema kipindi cha pili katika mchezo dhidi ya Southampton siku ya Jumanne waliposhinda magoli 3-1.

“Sina Uhakika,” alisema Arteta siku ya Alhamisi. “Walipata majeraha kidogo katika maeneo tofauti, tutaona jinsi gani watarejea. Tuna siku kadhaa mpaka siku ya mchezo lakini ngoja tuone watarejea vipi.”
Taarifa za kuaminika za karibu na mchezaji huyo zinasema amepona na chanzo cha karibu cha mchezaji huyo kinasema anaweza kupata muda katika mechi dhidi ya United.
Anayejaribu hawezi kutoka kapa Meridianbet! Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inakuhakikishia ushindi mkubwa kila unapojaribu kuingia mchezoni. Washindi hushindana, ingia mchezoni!



David Pere
Taarifa za kuaminika za karibu na mchezaji huyo zinasema amepona na chanzo cha karibu cha mchezaji huyo kinasema anaweza kupata muda katika mechi dhidi ya United.
Issa
The gunners tutawakalsha
Adelta
Karibu Sana tusubiri tuone maajabu yake
Ernest Kimeru
Partey fundi sana
Magdalena
Ngoma ya leo
Dorophina
Habari njema thomasi kurudi kikosini
Hopemwaikuka
Namkubal Sana
Lydia Emmanuel Magoti
Yupo vizuri
Sania
Habari njema jembe kurudi kikosini
Sarah
Yuko poa
Zahara Omary
Yuko vizur
warda
iko poa