Kocha Mikel Arteta amekubali nahodha wa Arsenal, Pierre-Emerick Aubameyang alikuwa na msongo wa mawazo (Stress) baada ya mama yake kuwa mgonjwa.
Aubameyang alirejea kikosini katika kichapo cha katikati ya wiki dhidi ya Wolves, akiwa amefanya mazoezi peke yake na alikosa mechi tatu kwa sababu ya matatizo ya kifamilia.

Arteta anatumai atakuwa tayari kurejea kikosini tena katika safari ya Jumamosi kwenda Aston Villa, licha ya kulemewa na mzigo mzito kimawazo katika wiki za hivi karibuni.
Arsenal kwasasa ipo katika nafasi ya 10 ikiwa na alama 31 baada ya kucheza michezo 22, mchezo unaofwata Gunners wanaelekea Villa Park kuvaana na Aston Villa siku ya leo.
Neptune’s Richies ni mchezo Unaokupa pesa chap chap huku ukiwa unaburudika kupitia Kasino ya Mtandaoni ndani ya Meridianbet.



Sylvester
Msongo wa mawzo nafkiri ni kwa yeyote anaweza kuwa nao endabo mzazi wake anaumwa,sasa amerudi kuendelea kuonyesha uwezo wake wa kupachika magoli
Adelta
Arteta atakaa sawa tu na atapachika magoli Kama yote
Khadija
kawaida kwa kila binadamu msongo wa mawazo lazima ukiangalia anayeumwa ni mama ake mzazi atakaa tuu sawa na magoli yataendelea kawa kawida tumuombee tu kwa mwenyez mungu.
Caroline
Pole Sana Aubameyang
Magdalena
Hizo ndo changamoto kubwa Sana katika maisha pole Sana kwake
Dorophina
Pole kwake aubameyang amerudi kwenye kikosi afanye kazi sasa
Sarah
Pole yake aubameyang
Sania
Aubameyang rudi ulingoni mambo yatakuwa sawa tu
Hopemwaikuka
Changamoto hzo
Lydia Emmanuel Magoti
Pole sana
warda
Kuna kipindi lazima upitie hali hiyo