Inter Milan na Bayern, Mwendo Mdundo!

Mbio za kuwania Scudetto na taji la Bundesliga zinaendelea kupamba moto. Inter Milan na Bayern Munich, mwendo mdundo!!

Inter alikuwa uwanjani kupambana na Fiorentina, Nicolo Barella na Ivan Perisic walitosha kuwapatia vijana wa Antonio Conte pointi 3 muhimu na sasa wanaongoza ligi.

Inter Milan
Coman akipachika goli la ushindi kwa Bayern Munich

Upande wa pili, Bayern Munich walikuwa uwanjani kupimana uwezo na Hertha Berlin. Goli la Coman kunako dakika ya 21, limewatosha Bayern kuendelea kukaa kileleni kwa tofauti ya pointi 10 mbele ya RB Leipzig.


TENGENEZA FAIDA KUPITIA KASINO YA MERIDIANBET

Neptune’s Richies ni mchezo Unaokupa pesa chap chap huku ukiwa unaburudika kupitia Kasino ya Mtandaoni ndani ya Meridianbet.

Neptune's-Riches_Casino-Post_30-January

Cheza hapa

12 Komentara

    Bayern wanafanya vizuri ila sio sana na inabidi wakaze buti kwani vijana wengine wamejidhatiti kupambana nao.

    Jibu

    Bayern munich Bado anakazi nzito

    Jibu

    Bayern munich endelea kukaza buti

    Jibu

    Mambo yametaradadi

    Jibu

    Bayern wasipokuwa makini kwa uchezaji wao huu watapoteza sana

    Jibu

    Bayern bado mpira wao sio wa kiwango

    Jibu

    Asante kwa taalifa

    Jibu

    Bayern Wana kibarua kizito

    Jibu

    Mambo yamenoga

    Jibu

    Imeeleweka

    Jibu

    Vizuri sana

    Jibu

    Inter wanajitahidi sana

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.