Kocha wa Chelsea, Thomas Tuchel amekubali kwamba kufungwa na Manchester United akiwa na PSG katika hatua ya 16 bora ni kipigo kibaya katika kazi yake.
March 2019 United walitoka nyuma 2-0 kutoka mchezo wa kwanza na kupata ushindi katika dakika za mwisho na kufuzu katika robo fainali ya Ligi ya Mabingwa katika dimba la Parc des Princes.

“Nakiri baada ya kupoteza nilikuwa kizani kwa siku mbili, sikuweza kuongea na mtu yeyote na sikufikiria kitu chochote zaidi ya kipigo kile,” Tuchel alisema
“Inawezekana ikawa ndio kipigo kibaya zaidi kwangu kwasababu kilikuja bila kutarajia. Katika kipindi kama hicho. Nilikua kizani kwa siku mbili ambazo kocha anapaswa kuwa.
“Hakuna njia unaweza kulinganisha mechi hizi mbili. Nimesema jinsi nilivyojisikia baada ya kupoteza Ligi ya Mabingwa. Wote tunajua kipigo ni vigumu kukizoea.
“Ningependa kubadili sasa. Tunapenda mashindano na tunapenda kushinda na tunapenda kupigania, nadhani hicho ndicho tutakacho kipata Jumapili.” aliongeza Tuchel
BusttheBank ni sloti inayokupa Mkwanja wa kutosha. Ndio, hii ni sloti inayokupa faida ya hadi mara kibao ya dau lako. Ni Meridianbettz pekee utakapoweza kupata burudani hii.



Venerose
Tunataka kuona mabadiliko
Rahma
Asante kwa taalifa meridian bet
Adelta
Ngoja tusubiri matokeo
Caroline
Pole sana
Hopemwaikuka
Twangoja
Lydia Emmanuel Magoti
Pole yao
Asia Abdy
Mh hatar
warda
sasa Tuchel anauwezo gani wa kuifunga United