Marseille Wamleta Kocha Sampaoli

Jorge Sampaoli amechaguliwa kuwa kocha mkuu wa Marseille kwa dili iatakayo dumu mpaka Juni 2023.

Kocha huyo mwenye umri wa miaka 60 amefurahia maisha ya ukocha sana sana alipofanikiwa kutwaa ubingwa wa Copa America akiwa na Chile mwaka 2015 kabla ya kuondoka na kuchukua mikoba ya kuingoza Sevilla mwaka 2016.

Kwa muda usiozidi mwaka Sampaoli aliondoka na kurudi nchini mwake Argentina lakini hakufanya vizuri baada ya kutolewa kwenye mashindano ya kombe la Dunia katika hatua ya 16 bora mwaka 2018 ambapo mwishowe Ufaransa waliibuka mabingwa wa kombe hilo.

Alipokuwa Santos na Atletico Mineiro Sampaoli alishinda Camaeonato Mineiro na kwasasa anaingia Ulaya kuungana na klabu ya Ligue 1 Marseille ambao wapo nagfasi ya nane kwenye Jedwali.

“Nimeambiwa maisha yangu yote kuwa Marseille ni sehemu maalum ya kwa kitu ukipendacho. Kwamba Velodrome inaangaza wakati timu inacheza uwanjani,” alisema Sampaoli.

“Marseille ni klabu ya watu. Hatuko hapa kujificha: tutacheza kwa bidii. Wakati nilipokea pendekezo hili, nilikuwa na ndoto ya kuweza kufanya sherehe jijini.


TENGENEZA FAIDA KATIKA SLOTI PENDWA HAPA MERIDIANBET

BusttheBank ni sloti inayokupa Mkwanja wa kutosha. Ndio, hii ni sloti inayokupa faida ya hadi mara kibao ya dau lako. Ni Meridianbettz pekee utakapoweza kupata burudani hii.

CHEZA HAPA

8 Komentara

    Sampaoli tuna kutegemea msimu huu

    Jibu

    Vizuri

    Jibu

    Kijana Yuko vizuri

    Jibu

    Safi sanaaa

    Jibu

    Nc

    Jibu

    Safii sana

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

    Cool

    Jibu

Acha ujumbe