Wachezaji wa Manchester City Kevin De Bruyne na John Stone wanaweza kurejea kwenye kikosi cha kuanza XI kitakacho waongoza West Ham United.

Uchambuzi EPL: Manchester City vs West Ham United.

Vijana wa Guardiola wameongeza rekodi ya kutofungwa katika michezo 19 baada ya kushinda 2-0 mchezo wao wa kwanza wa Champions League dhidi ya Borussia Monchengladbach.

Kiungo Rodri na IIkay Gundogan wataungana na De Bruyne kutengeneza utatuambao ulikuwa ukicheza vyema kabla ya Kevin kupata majeraha.

Head to Head

West Ham hawajashinda mechi 11 (L9, D2) dhidi ya Manchester City kwenye mashindano yote tangu waliposhinda 2-1 mwaka 2015 katika dimba la Etihad.

Man City wameshinda mara19 mfululizo katika ligi na michezo ya vikombe vya ndani dhidi ya West Ham.

Sare ya 1-1 ya mwezi Oktoba msimu huu ilikatisha rekodi ya City kushinda mara tisa mfululizo dhidi ya Hammers.

Kuhusu Manchester City.

City hawajafungwa katika michezo 26 kwenye mashindano yote (W23 D3) imesalia michezo miwili kuipita rekodi waliyoiweka mwaka 2017 na Guardiola.

IIkay Gundogan amefunga mabao 9 katika Premier laegue kwa mwaka 2021 manne zaidi kuliko mchezaji yeyote.

Raheem Sterling amehusika kwenye mabao 14 katika michezo 15 ya Premier League dhidi ya West Ham amefunga mabao nane na kutengeneza mengine sita.

Kuhusu West Ham United.

West Ham wameshinda kwenye mechi saba kati ya tisa za Premier League mwaka huu 2021.

The Hammers wapo katika nne za juu baada ya michezo 25 kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1986 ambapo walimaliza nafasi ya tatu.

Moyes hajashinda mechi nane kwenye mashindano kama meneja dhidi ya Pep Guardiola, amepoteza michezo yote ya ugenini.


TENGENEZA FAIDA KATIKA SLOTI PENDWA HAPA MERIDIANBET

BusttheBank ni sloti inayokupa Mkwanja wa kutosha. Ndio, hii ni sloti inayokupa faida ya hadi mara kibao ya dau lako. Ni Meridianbettz pekee utakapoweza kupata burudani hii.

manchester city, Uchambuzi EPL: Manchester City vs West Ham United., Meridianbet

CHEZA HAPA

9 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa