Klabu ya soka ya Chelsea inakaribia kuikimbiza kabisa Real Madrid kwenye hekaheka za kumsajili mchezaji nyanda wa Roma, Alisson!
Hii ni katika mkataba unaomthamini mchezaji huyo wa Brazil mwenye umri wa miaka 25 kuwa na thamani ya paundi milioni 62. Watamudu hilo kuwashinda wenzao wa Hispania? Muda utatujibu.


Furahav
Hii habari iko poa.
Neema hassan
Habari njema
Issa
Safi the blues
Fatina mfingi
Makala nzur