Iran Atachomoka kwa Ureno Leo?

Uwanjani leo kuna jumla ya mechi nne kwenye Kombe la Dunia na kocha Carlos Queiroz atakuwa akikiongoza kikosi chake katika kusaka taji hilo na mechi yao leo ni dhidi ya taifa la Ureno.

Kocha huyu atakuwa akimtegemea mchezaji staa Sardar Azmoun wakati nchi hiyo ikikipiga mechi yake baada ya kuwa ni mara ya nne kwao kushiriki kwenye fainali 6 zilizopita lakini ushindi wao pekee ulikuwa ni dhidi ya USA. Hii ilikuwa ni mwaka 1998 walipokutana.

Iran waliweza kushinda mchezo wao wa mwisho kufuzu kwenye Kundi wakicheza dhidi ya Korea Kusini na katika gemu zilizopita wameshinda mmoja dhidi ya Morocco na kupigwa na Hispania. Leo wataweza kushinda na kuweka matumaini ya kufanikiwa zaidi au wataharibu?

4 Komentara

    Asee lilikuwa bonge la pambano

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Ureno iko sawa.

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.