Ndong Kushtakiwa na Klabu Yake!

Klabu ya Sunderland inataka kumfungulia mashtaka mchezaji wao mwenye umri wa miaka 24, Didier Ndong!

Wanamtaka awalipe kiasi cha £13.6m mara baada ya kushindwa kuwasili klabuni kwake tangu msimu huu uanze. Sunderland wanakiri kuwa mpaka sasa wao hawajuia mahali ambapo mchezaji huyo wa Gabon yupo!

Wiki iliyopita mchezaji beki wa Senegal, Papy Djilobodji alirudi klabuni pale kwa mujibu wa Guardian. Mmiliki wa klabu hiyo, Stewart Donald  alilalamika sana kwamba wachezaji hao wawili wanakiuka mikataba yao.

2 Komentara

    Gud news

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.